Ado Lyrics

(Magix enga on the beat)
Tayari niko maji
Mtoto amenilowesha lowesha hey
Ananimaliza wee
Akinikamata kamata kachiri we mwewe
Nikisinzia ni yeye
Nikiamka ni yeye
Aki walahi mama ni wewe
Anayeniweza ni wewe
Inama ni kama unazima mshumaa
Hebu rotate baby chuchumaa
Nipande mtungi mali ya umma
So baby come closer, iye iye
Usiogope mami rombosa
Mmmh ado ado, ado ado ado
Mmmh ado ado, ado ado ado
Ananichoma ka ni pan
Mtoto kitandani kiuno dondora
Ananiwasha katapila
Haogopi bakora
Mama mama mama mama
Katoto kamewaka
Utadhani kamemeza jiko (Fire fire)
Kana kifua cha kiwanda
Yaani chuchu dede mwiko (Waya waya)
Carola, carola eeh
Nipande boda boda carola eeh
Carola, carola eeh
Nikunywe kama soda carola eeh
So baby come closer, iye iye
Usiogope mami rombosa
Mmmh ado ado, ado ado ado
Mmmh ado ado, ado ado ado
Basi nikune kucha nilale (Ado)
Amsha popo nidare
Basi nikune kucha nilale (Ado)
Amsha popo nidare
Nikisinzia ni yeye
Nikiamka ni yeye
Aki walahi mama ni wewe
Anayeniweza ni wewe
Inama ni kama unazima mshumaa
Hebu rotate baby chuchumaa
Nipande mtungi mali ya umma
So baby come closer, iye iye
Usiogope mami rombosa
Mmmh ado ado, ado ado ado
Mmmh ado ado, ado ado ado
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Ado (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE