Home Search Countries Albums

Tausi

MATATA

Tausi Lyrics


Kide kide kidege
Kide kide kidege
Kide kide kidege Kide

Tausi ndege wangu
Ndege wanguwa fahari
Ndenge umekwisha mali
Sasa wataka nini
Tausi ndege wangu
Ndege wangu wa fahari
Ndenge umekwisha mali
Sasa wataka nini

Sema unachotaka na utaget
Sema unachotaka si unabanja na bazeng
Nina mkwanja hatuchezi na budget
Mamacita umeniwacha na madent yeah
Hustle juu chini nikipata ka Unga tunashiba
Ass huwanga biggie kuvaanga trouser ni shida
Ye hufanya mimi nina sahau sahau ujinga
Na mweka vifiti akitaka pizza anashiba
Mresh yee ni tausi
Mu wet ye hakauki
Duvet ni masauiti
Tuivee ndani ya audi
Live band tukicheza papa wemba
Lazima maidhaa ye atanijenga

Tausi ndege wangu
Ndege wangu wa fahari
Ndenge umekwisha mali
Sasa wataka nini
Tausi ndege wangu
Ndege wangu wa fahari
Ndenge umekwisha mali
Sasa wataka nini

Mi sitaki uong so
Nitakushow kilicho kwa roho ndo
We ujue kwamba nakupenda
Sikuizi wao husema kulombotov
Yeah usiniwache boo
Nina form mingi usinpende juu ya pesa tuu
Ni Chum hadharani wadai si tusake room
Vroom ndani ya gari piga izo mamende doom shhh
Baeby ukinipata utakosa nini
Patipati za prada shika half a milli
Ushaingia ndani ya prado  ukawasha nini
Tausi ndege wangu unataka nini unataka nini

Tausi kapenda mwewe
Wasielewe borake mimi na wewe hadi milele
unipende nikupende Tufkie kilele kilele

Tausi ndege wangu
Ndege wangu wa fahari
Ndenge umekwisha mali
Sasa wataka nini
Tausi ndege wangu
Ndege wangu wa fahari
Ndenge umekwisha mali
Sasa wataka nini

Don´t you go no no no
No no no no
We ndo chaguo la moyoyo
Moyo yo yo
Stay with me  i know how to love ahh
Anything you desire you shall have my love aah
Don´t you go no no no
No no no no
We ndo chaguo la moyoyo
Moyo yo yo
Stay with me i know how to love aah
Anything you desire you shall have my love aah

Kide kide kidege
Kide kide kidege
Kide kide kidege Kide

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Super Morio (Album)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MATATA

Kenya

Matata is a group of dancers/artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE