Nakuchukia Lyrics
Kama moyo wako ungekuwa samaki
Mi nahisi ushanimeza(Hamu-hee)
Maana yote unayofanya
Ni kwa sababu unaniweza
Nakufumania una act unalia
Nakubembeleza
Alafu kwa rafiki zako
Unatamba umeniweza
Kutwa DM yako ni Ali na Jux
Unawasifia(Salale)
Kwa emoji za makopa kopa
Ila nikajipa moyo sio kesi
Prado na Hummer ulinidanganya
Uber nikavumilia(Salale)
Nikikuuliza we mwenzangu vipi
Unanijibu wame update
Cha kushangaza Don Dingo rafiki yangu
Ila why umetoka na yeye?
Toto Bad ni rafiki yangu
Ila why umetoka na yeye?
Stonebwoy ni rafiki yangu
Ila why umetoka na yeye?
Muuh Kajo ni ndugu yangu
Sasa why
Nakuchukia!
Nakuchukia!
Ninakuchukia!
Nakuchukia!
Niakuchukia!
Mwenzenu nilitwa doctor
Pale akitaka dawa
Kumbe kwake nilikuwa kidole
Kimoja sikuvunja chawa
Ni bora ushutiwe na gun
Nyie mapenzi yanauma usinitanie
Kaniumiza moyo aah
Nalia na moyo aaah
Ni bora cha msibani
Nyie kilio cha mapenzi mkisikie
Kinauma kwa moyo aah
Vibaya kwa moyo aaah
Cha kushangaza Barnaba mi ni kaka yangu
Ila why umetoka na yeye?
Dully Misifa ni baba yangu
Ila why umetoka na yeye?
Stan Bakora rafiki yangu
Ila why umetoka naye?
Twaah Kane ni ndugu yangu
Sasa why
Nakuchukia!
Hata barabarani ukiniona nipite
Nakuchukia!
Hata ukisikia nimekufa usinizike
Ninakuchukia!
Hata barabarani ukiniona nipite
Nakuchukia!
Hata ukisikia nimekufa usinizike
Ninakuchukia!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Nakuchukia (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MABANTU
Tanzania
Mabantu Is A Urban Boy Band From Tanzania Consisting Of Muuh Mabantu And Twaah Mabantu ...
YOU MAY ALSO LIKE