Home Search Countries Albums

Bodaboda

MABANTU

Bodaboda Lyrics


MABANTU – bodaboda

Bodaboda! Yetu bodaboda
Aah!

Leo tutoke my mama
Ruksa ukipaka kainah
Kwako nishasigner
Nishakufollow ka alivyosema Dayna
Maama moyo wangu kwako
Eeh utaniacha hoi
Ruti bodaboda kijichi
Tukirudi tuzame kwa ndichi
Mtamu ka mboga
Vile ukizungusha unanikoroga

Penzi ng’anga’ ania
Ning’ ang’ anie usiniache
Kitandani hatamia
Mafuta tukipaka mate zile mmh
Ehh unaniacha hoi

[CHORUS]
Bodaboda
Yetu bodaboda
Sina Ferrari mama tutapanda
(Bodaboda)
Yetu (bodaboda)   iyeeeh
Bodaboda ayaya aah
(Yetu bodaboda)
Mpaka mtwara kwa mama tutakwenda
(Bodaboda)

[VERSE 2]
X wangu alikuwa gigy
Na alinipa pa’
Baby nipe zigi zigi
Maama vyote  Nilishapata hizo
Mmhh ahh Ziliniacha hoi
She call me bae
Nipe mate Hadharani washangea
Nyuma umebeba nini
Hizo chuchu konzi ama ndio miba nini
We ni wangu wa faida
Name ni wako mpaka ni
Ving’asti usiwape faida ukaruhusu wakapiga aah
Utaniacha hoi

Bodaboda, Yetu bodaboda
Sina Ferrari mama tutapanda
Bodaboda, bodaboda, Yetu bodaboda   iye eeh
Bodaboda aahh
Yetu bodaboda   iye eeh

X wangu alikuwa gigy
Na alinipa pa’
Baby nipe zigi zigi
Maana moyo wangu kwako
Hum eeh utaniacha hoi
Ruti bodaboda kijichi
(Bodaboda, Yetu bodaboda  )

Sina Ferrari mama tutapanda
Bodaboda
Yetu bodaboda   iyeeeh
Bodaboda (ayaya aah)
Yetu bodaboda
Mpaka mtwara kwa mama tutakwenda
Bodaboda
Yetu bodaboda

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : BodaBoda (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

MABANTU

Tanzania

Mabantu Is A Urban Boy Band From Tanzania Consisting Of Muuh Mabantu And Twaah Mabantu ...

YOU MAY ALSO LIKE