Home Search Countries Albums
Read en Translation

Mpe Simu Lyrics


It’s a time for Manzese Music Baby

Naitwa

Maarifa

Oooooh ooh oooh

Ooooh oooooh

Oooooh ooh oooh

Naomba mpe simu ili niongee naye

Hello

Hello Dear Hello

Nimimi hapa tena

Nakuna mengine tena

Nataka kusema

Umeumba roho haiwezi kukusumbua simu

Naomba nipe wafatao nimewa-miss unajua ni muhimu

Oya

Punguzei sauti ili nimpatie taarifa mama

Mwanao Rashid ndio huyu anaitwa Maarifa mama

Msanii wa taifa na maokoto sihaba

Haujachukia miekujiita mtoto wa baba…?

Namuomba Kanumba wakati anakuja amstue Ngwea

Kabla sijasema kitu Sharo uwe umesogea

Maana mziki na movie vidole na kucha

Hongereni sana siwezi wapa pole kwa kufa

Waunganishe Nyerere Mkapa na JPM

Nitatuma ujumbe nikitoka hii sehemu

Sasa naomba nimng’ate sikio anaitwa Ruge

Mtoto wa kino amemuoa aliyeimba kivuruge

Oooooh ooooh ooooh

Oooooh ooooh

Oooooh ooooh ooooh

Naomba mpe simu ili niongee naye

Oooooh Oooooh Oooooh

Oooooh ooooh

Oooooh ooooh ooooh

Naomba mpe simu ili niongee naye

Mpe simu Kapiteni

Kwa heshima naimwaga pombe

Loud speaker aweke amwite Kibonde

Aliowa-support hawakuja kuzika hizo ni dhambi

Ila jahazi lasonga la Adam na Hamis Mandi

G ulikuwaga MC kwenye msiba wa Steve B

Ebu vuta taswira unapoina hii (jijijiii)

Mwambie Skills amwite Mndojo ongee na machizi

Binaadamu wanaroho ndogo wamemuua ka-mwizi

Hold on

Mbona nasikia ka-sauti ya Zizi

Usikate naongeza bundle niongee na Geez

Mabovu (Dirty South Dawg)

Wana ametuachia makovu

Tuombeane tunawindwa na watu wenye nia ovu

Eti baba nikuulize unaye Ben Saanane….???

Mtoto wa Mawazo anamawazo mkewe Azory mjane

Nina cha mwisho ningependa kuongea na Magu

Ila naona mtandao unakata nakusikia kwa tabu

Oooooh Oooooh Oooooh

Oooooh ooooh

Oooooh ooooh ooooh

Naomba mpe simu ili niongee naye

Oooooh Oooooh Oooooh

Oooooh ooooh

Oooooh ooooh ooooh

Naomba mpe simu ili niongee naye

(Punguzei sauti ili nimpatie taarifa mama)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2025


Album : (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MAARIFA

Tanzania

Maarifa BigThinker whose real names are Rasheed Rais Mohamed is a recording artist and rapper from T ...

YOU MAY ALSO LIKE