Juju Lyrics

Baby
Ohh baby
Umeniweka mkononi sawa
Ohh baby
Your love have got something power
Hajanipa juju
Ndivyo tulivyo
Ajatumia madawa
Ohh my lover imenoga
Your body iihh imenoga
Na your face imenoga
Na hizo lips, tamu kunoga
Ni kama muda hauendi (hauendi)
Nimenogewa na mapenzi (ohh na mapenzi)
Alika na mashoga zako
Twenzetu zenjii
Ni kama muda hauendi (hauendi)
Nimenogewa na mapenzi (ohh na mapenzi)
Alika na mashoga zako
Twenzetu zenjii
Nalalaga na yeye
Lakini hata ndotoni namuota
Ohh baby
Yeye ndo ndege
Anaemiliki kiota
Nashindaga na yeye
Nikitoka tu kidogo na miss
Ohh baby
Nikirudi napokelewa
Na kiss mwah
Msimtumie message
Ananipaga nasoma
Oya masela wangu
Nawaona nawaona
Msimtumie message
Ananipaga nasoma
Oya masela wangu
Nawaona nawaona
Ahhhh
Hajanipa juju juu
Ndivyo tulivyo
Ajatumia madawa
Ohh my lover imenoga
Your body iihh imenoga
Na your face imenoga
Na hizo lips, tamu kunoga
Ni kama muda hauendi (hauendi)
Nimenogewa na mapenzi (ohh na mapenzi)
Alika na mashoga zako
Twenzetu zenjii
Ni kama muda hauendi (hauendi)
Nimenogewa na mapenzi (ohh na mapenzi)
Alika na mashoga zako
Twenzetu zenjii
I got love for you
Love for you
I got love for you
Love for you
I got love for you
Love for you
I got love for you
Love for you
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Copyright : ©2025 Kings Music Records.All Rights Reserved.
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
TOMMY FLAVOUR
Tanzania
Tommy Flavour is a singer, songwriter/ artist from Tanzania. Signed under Kings Music. ...
YOU MAY ALSO LIKE