Home Search Countries Albums

Tupa Lyrics


Ati Tupa ku tupa
Juu ya meza machupa
Bill iko kwangu leo mi ndio na lipa

Ati Tupa ku tupa
Juu ya meza machupa
Bill iko kwangu leo mi ndio na lipa  

[Verse 1]
Behind the scenes napenda kustay low
I'm into you na wewe si Jlo
Kupigana haiwezi fanya jo ublow
Ka haukujua niko sure now you know
Punguza mdomo napenda vitendo
Mi ni mkali kwa kila kitengo
Walikubali niwakilishe ghetto 
Ka ngoma kasikike Runda hadi Gethoo
Ni Lyricall

[Chorus]
Ati tupa ku tupa
Juu ya meza machupa
Bill iko kwangu leo ndio nalipa

Ati tupa ku tupa
Juu ya meza machupa
Bill iko kwangu leo ndio nalipa 

[Verse 2]
Round 1 ikiisha twende round 2
Na kuna dem anadai zikam tu
Pitisha hiyo glass,wacha ikam thru
Hii form hatukupanga ilkua impromptu
Sichochi na ngoma ni nomaa
Utaanguka wacha kunisomaa
Nitazilipa mbona unagomaa
Before any whores lazima ka bromaan

[Chorus]
Ati tupa ku tupa
Juu ya meza machupa
Bill iko kwangu leo ndio nalipa

Ati tupa ku tupa
Juu ya meza machupa
Bill iko kwangu leo ndio nalipa 


[Verse 3]
Mkizishika ndio huyo mimi nazitupa
Same date nilizaliwa na 2Pac
Na kula nyama uking'ang'ania mifupa
Composed kama Roro na footwork
Boss uspokuja morrow utafutwa
Leo siwashi koro kesho kutwa
Hauna nguvu unapigwa hadi na butwaa
Ka ngoma imekubamba hizo machupa unatupa

[Chorus]
Ati tupa ku tupa
Juu ya meza machupa
Bill iko kwangu leo ndio nalipa

Ati tupa ku tupa
Juu ya meza machupa
Bill iko kwangu leo ndio nalipa 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Tupa (Single)


Copyright : (c) 2019 Esko Life Music


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

LYRICALL PICASSO

Kenya

Lyricall Picasso is an artist from Kenya signed under Esko Life Music a record label owned by D ...

YOU MAY ALSO LIKE