Short & Brief Lyrics
Short and brief no wasting time here
Happy mood ka rave in Westy
Time ina move we save wakati
Masaa ni ya breakfast ju ushanitii
Short and brief no wasting time here
Happy mood ka rave in Westy
Time ina move we save wakati
Masaa ni ya breakfast ju ushanitii
Short and sweet ka Sol na Shinski
Niki accelerate Kansoul hawafiki
Ubaya ya mi nakuwaga mtriky
Hapa bana niko kazi hapana picnic
Ah twende faster ama slowly
Wapi dance feel free if you know me
Changamka usisleki
Hizi form zi hukuja ka kila wiki
Oya oya oya oya(Oya)
Kameshika washa fire(Fire)
Watahepa watagwaya
Nilishawashow mi mambo mbaya(Sana)
Short and brief no wasting time here
Happy mood ka rave in Westy
Time ina move we save wakati
Masaa ni ya breakfast ju ushanitii
Short and brief no wasting time here
Happy mood ka rave in Westy
Time ina move we save wakati
Masaa ni ya breakfast ju ushanitii
Haya haya nimekuja kwenye mic
Ninatesa nina hype
Niko chingri niko high
Nina vela zinadai
Nimesanif holy fine
Na ukidai jo kunyanya niambie
Pedi wangu jo pale Ndung'u hapendi jo kuchai
Anapenda jo tu kusaka anapenda manufai
Anapenda vitu fine pia wale wamevai
Kila siku kwenye shigi tukidai jo kurise
Mi naskia mkoba wangu
Anadai goodbye, anadai good vibes
nimemada nimekalas, verse yangu imedie
Imeisha ime ime ime , imedie !
Short and brief no wasting time here
Happy mood ka rave in Westy
Time ina move we save wakati
Masaa ni ya breakfast ju ushanitii
Short and brief no wasting time here
Happy mood ka rave in Westy
Time ina move we save wakati
Masaa ni ya breakfast ju ushanitii
Free yourself jiachilie(Lewa)
Weka liquor mum nitilie(Pewa)
Mpinde kiuno mishikilie
Ukimaliza na hii kwata ile
Nimecheki wengi wakikam wakigo
Wakijaribu kushindana na king of flow
Tumeshika maganji tumeshika doh
Ukiwa kimbitho hakuna kitu hukubore
Ka hamtupei maganji hatupigi show
Ka ni tei na maji hatutaki more
Ligi yako ni gani mimi niko soo
Ni Frasha amekam kuwabamba na Picasso
Short and brief no wasting time here
Happy mood ka rave in Westy
Time ina move we save wakati
Masaa ni ya breakfast ju ushanitii
Short and brief no wasting time here
Happy mood ka rave in Westy
Time ina move we save wakati
Masaa ni ya breakfast ju ushanitii
Free yourself jiachilie(Lewa)
Weka liquor mum nitilie(Pewa)
Mpinde kiuno mishikilie
Ukimaliza na hii kwata ile
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Short & Brief (Single)
Copyright : (c) 2019 Esko Life Music.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
LYRICALL PICASSO
Kenya
Lyricall Picasso is an artist from Kenya signed under Esko Life Music a record label owned by D ...
YOU MAY ALSO LIKE