Home Search Countries Albums

Coroma Lyrics


Inaleta hasara, imehatibu biashara
Jo ina ufala, ina ufala
Eeh mahali imefika ni bidii 
Tuendelee na kung'ang'ana, eeh sawa sawa

Cheki ati Coroma imefika
Coroma inaskika
Coroma hauskii ni kila mtu inaweza shika
Coroma ni blunder, coroma inamada
Eeh unafaa kusanitize kabla haujamanga
Coroma ni woooo, na inaleta eeeh
Coroma ni woooo, na inaleta eeeh

Kuingia kejani round hii ni saa ya kuku
Kabla haijafika usiku
Coroma iko huku na huku
Design hadi kipofu itabidi ameiona

Hauskii Coroma ikikushika hadi huwezi choma
Vaccine blunder bado haijapatikana
Vaccine blunder labda mikono kunawa
Niko na swali nikuulize daktari Rona (Niulize)
Coroma hushikaga watu wanachoma?
Coroma ni ka ilikufa ikafufuka
Imerudi ni ka ni msee inatafuta eeh

Coroma ni woooo, na inaleta eeeh
Coroma ni woooo, na inaleta eeeh

Coroma ni kila mahali hadi kwa gazeti
Coroma unaweza isearch hadi mneti
Follow, like, subscribe na ucommenti
Mahali imefika wengine wakiji-isolate

Na bado nakumbuka kuna hour
Ukilegeza uchelewe si mtapatana
Usiku usiku mandugu wako na marungu
Marungu rungu ukipigwa unabaki nduru

So itabidi kameshikia home
Ka unataka kujinyc morio stay at home
Alafu ka unataka kuepukana coroma
Unapenda ma 'sshh' sanasana kuchoma
Ikuwe ni shash ama 'Sssh' dodoma
Itabidi uregulate ju imebakia shash ni moja

Haiwezekani si tukule pamoja
Na vile naskia imesambaa hii ugonjwa

Woooo eeeh, Woooo eeeh
Woooo eeeh, Woooo eeeh

Kama sos mi ndio sos
Mi ndio boss, mi ndio world boss

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Coroma


Copyright : (c) 2020 RGM Empire.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ZZERO SUFURI

Kenya

Zzero Sufuri (real name Jeremiah Chege) is an artist from Nairobi, Kenya based in Dagoretti.He came ...

YOU MAY ALSO LIKE