Home Search Countries Albums

Wewe Hapoo

LONY MUSIC Feat. MARIOO

Wewe Hapoo Lyrics


Lex where you at (lexvanny)
Yes roh yangu nii

Wewe hapo
Waubavunii
Wewe hapo
Uunae niwezea mii eeh
Wewe hapo
Unae nipatiaa
Wewe hapo aah
Naonaga wenye shepuu
Moja moja wakidondosha
Ila siwatamanii
Mie we unantoshaaa
Wanakujaga weny vibundaa
Aah wanaringisha
Ila siwatamanii
Aah we unantishaa
Unapanda beibee
Wanashakukaa bei
Oh nanana
Waniwezaaa beiii
Unapanda beii
Wanashakaa beiii
Oh nanana
Unaniweza beii
Si unajua kipenzi
Yote hapo
Bila we siweezii iii
Sina nyayoo
Kutembea siwezi aah
Hapo hapo
Ndo umeniwezea
Ndo umenikolea
Ndomana nataka ujue mi
Roho yangu

Wewe hapo
Wa ubavuniii
Wewe hapo
Unae niwezea mimi ii
Wewe hapo
Unanijuliaa aaah
Wewe hapo
Aaaaahh eeeh

Aah stangi tangii
Siendii popote
Mi chambi chambi
Sin aila usiondoke
Naa stambi tambii
Samaki yakee maji sio topee
Mi nshaweka kambili
Kama unakufa wewe, tufe wotee
Si unajua mupenzi
Yotee hayo
Bila we siwezii ii
Sina nyayoo
Kutembea siwezi aah
Hapo hapo
Ndo umeniwezea
Ndo umenikolea
Ndomana nataka ujue mi
Mabusu kila muda
Upendo umezama ndani kwangu sijielewi
Upo kila muda wee
Sio yuda we
Usalitii mi sio vitu vyangu ooh babe we
Ndomana nataka ujue mi
Roho yangu
Wewe hapo
Wa ubavunii
Wewe hapo
Unae niwezea mimi ii
Wewe hapo
Unaenijulia
Wewe hapo
Weeeee weeee weeeee

Dis time for lony bway

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Wewe Hapoo (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

LONY MUSIC

Tanzania

Lony Music is a Tanzanian musician ...

YOU MAY ALSO LIKE