Home Search Countries Albums

Tunalala

LONY MUSIC

Tunalala Lyrics


Kwako nafurahi
Usiniache napasha napooza bwaga moyo
Pesa maslahi, viniache nishachokwa kuburuza bwagaranyo
Oh, baby oo
Sogea nkung’ate sikio
Ah mwenzako naenda mbio
Usije ukawa fagio
Hafu unanilewesha unalilowesha ukishika tango
Penzi tunalinogesha tena tunavesha tukifanya mambo
Hafu babe tunalala, ah babe tunalala
Wallah babe tunalala, ah babe tunalala
Mpaka asubuhi eeh tunalala, aii tunalala
Mpaka kukuche yani tunalala, anh tunalala

Ukiwa untaka vuta kiti unaogopa we utanza ujana
Ah yani we kipenda roho usichoke nipende kha jana
Anh, acha wao washoboke na maneno mengi kututukana
Nah, wala ainiumi roho na bado tunapendana
Wala nichomeke hafu uchomoe unang’ata lips babe unikomoe
Niweweseke tena mbaya anibore au niombe vyote ubataka nkubore
Hafu unanilewesha unalilowesha ukishika tango
Penzi tunalinogesha tena tunavesha tukifanya mambo
Hafu babe tunalala, ah babe tunalala
Wallah babe tunalala, ah babe tunalala
Mpaka asubuhi eeh tunalala, aii tunalala
Mpaka kukuche yani tunalala, anh tunalala

Tunalala ah babe tunalala
Wallah babe tunalala, ah babe tunalala
Mpaka asubuhih eeh tunalala

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Tunalala (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

LONY MUSIC

Tanzania

Lony Music is a Tanzanian musician ...

YOU MAY ALSO LIKE