Sawa Lyrics
Mapenzi hisia usidanganywe na picha
We ingia ndani ujionee
We umechoka mwenzako ndo anafika
Basi kaa mabali ujijonee
Labda, ulipotamani vizuri
Ulipikosa nawe ndo ukanuna
Unanikosesha raha, kiburi nikiongea
Mwenzangu unauchuna baby
Na safari yangu inaishia njiani
Kabisa roho yangu inaumaa
Nimechoka siwezi nogopa
Nionee huruma baby
Anh anh anh anh anh
Anh anh anh anh anh
Anh anh anh anh anh
Sawa
Anh anh anh anh anh
Anh anh anh anh anh
Anh anh anh anh anh
Sawa
Nakupenda sana siwezi kukwacha babaa
Hata ikiwezekana twende unipeleke kwa mama
Sio mimi huyoo, haya ndo maneno ulisema kabla
Ila mapenzi balaa, sahivi we bingwa wa kunitukana
Kizuri kula na mwenzio ila sio mapenzi
Unanipeleka mbio moyo tamu yangu wanavyokula wengi
Labda ulipotamani vizuri ulipokosa
Na we ndo ukanuna
Unanikosesha raha kiburi
Nikiongea mwenzengu unauchuna baby
Na safari yangu inaishia njiani
Kabisa roho yangu inaumaa
Nimechoka siwezi nogopa
Nionee huruma baby
Anh anh anh anh anh
Anh anh anh anh anh
Anh anh anh anh anh
Sawa
Anh anh anh anh anh
Anh anh anh anh anh
Anh anh anh anh anh
Sawa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Sawa (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE