Home Search Countries Albums

Happy Birthday

LINEX SUNDAY MJEDA

Happy Birthday Lyrics


Tunakushukuru mungu
Leo mpendwa wetu
Ameongeza mwaka mwingine
Na si kwa mapenzi yetu sisi
Ni kwa neema, zako wee wewe mwenyewe
Hatuma wema wa kutosha
Wala sadaka ya kukutosha
Ahsante Baba kwa zawadi ya afya njema na uzima
Asante Baba kwa
Zawadi ya upendo na hekima aah
Sasa leo tumewaalika
Ndugu jamaa na marafiki
Sasa leo, tunasherehekea
Siku ya kuzaliwa kipenzi chetu
Sasa leo tumewaaliwa ndugu na jamaa na marafiki
Tutakula na kunywa pamoja
Na tutakisifu mungu uliye juu

Happy birthday to you ouuuhh
Happy birthday to you ouuuhh
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you

Keki iko mezani tunasubiri tule
Una miaka mingapi? Tukuulize
Keki iko mezani tunasubiri tule
Tukumwagie maji au tuuchune
Kukupost tu kwa status haitoshi, haitoshi
Kama sina upendo nawe
Nakupost kote kote
Nakupost, nakupost , nakupost
Sasa leo tumewaalika, ndugu jamaa na marafiki
Sasa leo tunasherehekea, siku ya kuzaliwa
Kipenzi chetu
Sasa leo tumewaalika, ndugu jamaa na marafiki
Tutakula na kunywa pamoja
Na tutakusifu mungu uliye juu

Happy birthday to you ouuuhh
Happy birthday to you ouuuhh
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you, you
Happy birthday to you
Happy birthday to you yeah

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Happy Birthday (Single)


Copyright : ©2022 THE V.O.A. All Rights Recerved.


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

LINEX SUNDAY MJEDA

Tanzania

Linex Sunday Mjeda is a bongo flavour artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE