Kilegeze Lyrics
Kama spring
Kizungushe round kama ring
Tena nispank
Ni lazima bao la ushindi
Baby ukiroll roll
Unagusaga goroli roli
Nabaki siko hoi hoi
Mpaka naombaga I'm sorry sorry
Show me ulichopewa na baba (Haiya)
Turn me on nibaki gugugagaga (Haiya)
Kwako mi mpole kama tembo ya pasaka (Haiya)
Kila mechi unashinda sina mashaka
Kilege, kilegeze
Kilege, kilegeze
Kiuno kilege, kilegeze
Kilege, kilegeze
Twende kilege, kilegeze
Kilege, kilegeze
Kiuno kilege, kilegeze
Kilege Ge! Ge! Ge! Ge!
[Dogo Njanja]
Napenda venye nikilogout
Nikirudi utamu tena kutight
Ndo maana wanaona mimi nafight
Back it up baby nipe tena na zaidi
Kilegeze kama femi ya Kichina
Kipambe kwa vichain ama hina
Bila bua nikupandishe safina
Ibaki tu ni supper ama dinner
Show me ulichopewa na baba (Haiya)
Turn me on nibaki gugugagaga (Haiya)
Kwako mi mpole kama tembo ya pasaka (Haiya)
Kila mechi unashinda sina mashaka
Kilege, kilegeze
Kilege, kilegeze
Kiuno kilege, kilegeze
Kilege, kilegeze
Twende kilege, kilegeze
Kilege, kilegeze
Kiuno kilege, kilegeze
Kilege Ge! Ge! Ge! Ge!
Gari imekata center bolt, kilegeze
Mara hogo mara lolipop, kilegeze
Kama umetia futa la mgando, kilegeze
Kama samaki kwenye kikaango, kilegeze
Gari imekata center bolt, kilegeze
Nipe hogo ama lolipop, kilegeze
Nimwagie baby futa la mgando, kilegeze
Kama samaki kwenye kikaango, kilegeze
Kilegeze, kilegeze
Kilege Ge! Ge! Ge! Ge!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Kilegeze (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
LINAH
Tanzania
Estelina Peter Sanga aka Linah is a Tanzanian award winning singer and performer with few hits in he ...
YOU MAY ALSO LIKE