Kama Yeye Lyrics

Mi kwake kitoweo
Ata nitoweze
Kanishika kunako leo
Acha nijieleze
Yaani leo ni leo
Asemaye kesho muongo
Ananikosha vile
Ananisugua kwa mgongo
Ananikosha kwa ulimi
Dondoke litanichubua
Tena amekula yamini
Kitabu cha moyo wangu anabukua
Ile michezo ya chumbani
Nilofunzwa mkoleni, nampa yote
Iwe kweupe gizani asipange foleni
Kama maji achote
Haki ya Mungu sijaona
Kama yeye, kama yeye
Anavyonikuna kila kona
Kama yeye, kama yeye
Walipochana ameshona
Kama yeye, kama yeye
Hata kugombeza ananong'ona
Kama yeye, kama yeye
Ye wangu bodaboda
Ananifikisha popote nitakapo
Yaani kama order
Nadeka ananidekeza kama mtoto
Yaani kiboko, kama sugar wameweka kwa togwa
Nimetulizwa ropo, hadi mashoga wanadai nimemroga
Amenitouch ile mbaya
Yaani size haijapwaya
Mi socket ye ndo waya
Akichomeka ni fire
Ile michezo ya chumbani
Nilofunzwa mkoleni, nampa yote
Iwe kweupe gizani asipange foleni
Kama maji achote
Haki ya Mungu sijaona
Kama yeye, kama yeye
Anavyonikuna kila kona
Kama yeye, kama yeye
Walipochana ameshona
Kama yeye, kama yeye
Hata kugombeza ananong'ona
Kama yeye, kama yeye
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Kama Yeye (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
LINAH
Tanzania
Estelina Peter Sanga aka Linah is a Tanzanian award winning singer and performer with few hits in he ...
YOU MAY ALSO LIKE