Nipende Mimi Lyrics
VampK..
[VERSE 1]
Umeketi, kwa kona , ukifikiria
Vile maisha ya mapenzi, yamekukalia
Any shoe that you admire
Inawa ndogo kwani dear
Mpaka sasa umeamua peku kutembea
Umesahau kitu chako kipo
Kimetengezwa tu kwa ajili yako
[CHORUS]
Ukiwa kwenye shida unajililia
Ntakupa kitambaa ujipanguzie
Ntaketi kando yako
Mpaka utulie
Kisha nikuimbie
Mpaka usinzie
Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha kilio
Yule Mwingine wa mwisho akakuuma sikio
T! Hey used you na sasa wanakuita kifagio
But nipende mimi
Nipende mimi
[VERSE 2]
You think that you are lonely
Coz no one is close to you
And even those that are closer
they never bother to fight for you
Umeapa kamwe, hutawahi penda
juu wanaume wote, ni mafisi
mwisho ni watakutenda
Give me a chance to prove your statement is wrong...
Naapa kwa wote wanaoskiza this song
[CHORUS]
Ukiwa kwenye shida unajililia
Ntakupa kitambaa ujipanguzie
Ntaketi kando yako
Mpaka utulie
Kisha nikuimbie
Mpaka usinzie
Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha kilio Kilio kiliiiiiiiiiiioooooooo
Kilio kilio kilio lalala lalala laaaaa Iyee iyeeee iyeeee
[CHORUS]
Ukiwa kwenye shida unajililia
Ntakupa kitambaa ujipanguzie
Ntaketi kando yako
Mpaka utulie
Kisha nikuimbie
Mpaka usinzie
Love you Baby. Nakupenda
Love you Baby. …
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2017
Album : Nipende Mimi (Single)
Added By : Kelvin Leteipa
SEE ALSO
AUTHOR
LETEIPA THE KING
Kenya
Vampk254 also known as Leteipa the King is an Afro pop music artist from Kenya. ...
YOU MAY ALSO LIKE