Home Search Countries Albums

PDA Lyrics


Mi napenda kupea dem yangu attention 
From kisses kwa bus station to mentions kwa radio station 
4.20 tupate session 
Na si unajua studio pia hawezikosa session 
Yaani hii sio love tu 
Hii ni passion 
That one person 
Shikilia my heart, na keys za mansion
(Skoko)

Dua langu la kuku hatimaye limempata mwewe
Amenipa nafasi naahidi ntavuka na yeye
Natty safi anang'aa
Ye ndio maana mi nachuna kaguitar
Meno safi tabasamu anipa raha
Wanashangaa mbona mi niko ithaa
Mishoni zangu tena sifanyi gizani mama
Umenibring tu the light
Ni ka niko kwa party geshaggy na muratina
You make me feel alright
Sunday to Sunday kamata nikamate
Nataka mpaka kwenye mtandao tutangaze
Picha kwenye Ghafla tukikatana mate
Mpaka mahater wakipatepatepate

When it rains na uko tao na hukubeba umbrella
Just call my name I'll dry the place uthani hata uko Mandera
Na nikiweza sema ntasema
Dunia nzima we ndo napenda
Na nikiweza sema ntasema
Dunia nzima we ndo napenda

Wanasema Nina P. D. A, P. D. A (EEEH)
P. D. A, P. D. A (WOYOYO)
P. D. A, P. D. A
Juu ninaPea Dem Attention

Wanasema Nina P. D. A, P. D. A (EEEH)
P. D. A, P. D. A (WOYOYO)
P. D. A, P. D. A
Juu nina Pea Dem Attention

Ukweli nilifanya mambo kukupata wewe sasa wamejaa tu mahaters (HATERS) 
Lakini baby stay with me si lazima tuwaskize nitakupa tu attention (ATTENTION) 
Future iko bright sana baby dunga shades skiza ngoma zetu kila station (STATION) 
Lakini baby stay with me si lazima tuwaskize nitakupa tu attention (ATTENTION) 

And I'll be there for you no matter what they say or do 
And you're my kinda flavour umenikunywa you're my juice

Mpenzi be ready 
Nitasupply the love, mimi kama pedi 
Anytime Anywhere sitasleki 
Niko ready kukupa all the attention

Oh Gosh I forgot to mention 
Unanipa ham pamoja na bacon 
Kukiwa na noma we ndo intervention 
Na sitaki badilisha situation No No No 

When it rains na uko tao na hukubeba umbrella
Just call my name I'll dry the place uthani hata uko Mandera
Na nikiweza sema ntasema
Dunia nzima we ndo napenda
Na nikiweza sema ntasema
Dunia nzima we ndo napenda

Wanasema Nina P. D. A, P. D. A (EEEH)
P. D. A, P. D. A (WOYOYO)
P. D. A, P. D. A
Juu nina Pea Dem Attention

Wanasema Nina P. D. A, P. D. A (EEEH)
P. D. A, P. D. A (WOYOYO)
P. D. A, P. D. A
Juu nina Pea Dem Attention

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Made in the Streets/Mystical (Album)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

H_ART THE BAND

Kenya

H_ART THE BAND is a music group from Kenya. the Group is made up of  Mordecai Mwini Kimeu (ASAP ...

YOU MAY ALSO LIKE