Home Search Countries Albums

Naila Lyrics


Mhhhhhhh
Ni Vampk 254
Big Daddy

Siku hizi namea kitambi
penzi tamu unalonipa
Kama kukupenda ni dhambi
mbinguni kamwe sitofika
Unanifanya niwe chongo
kipenzi weeh, Siku hizi wengine siwaoni
Unaponigusa mgongo, sihemi babe
utamu hadi kisogoni

Ukinibusu kwapani kijasho chanitoka
nahema na maskio (Aeeeeeh)
Usiruhusu jirani waonje yangu soda
utanikondesha mwenzio

I hope you know (Naila)
You are my one and only girl (Naila)
And I love you so much (Naila Anyoor)
You are my ombitho (Naila)
The words on every song (Naila)
Na sikushei ngo' (Naila Anyoor)
And I will sing waskie (Aeeeeeh)
That you are my Queen wavimbiwe (Aeeeeeh)

Nitakupa unachotaka hata iwe uridhi wangu
nyumba shamba pengine
Na hizo pesa zikikata tutauza figo zangu, juu ntamea zingine
Kwako napata vinono, Mgandogando ngurunyi. Yeaaah
Yaani chapati madondo Avocado thufu
NDI! I hope you know

Ukinibusu kwapani kijasho chanitoka
nahema na maskio (Aeeeeeh)
Usiruhusu jirani waonje yangu soda
utanikondesha mwenzio

I hope you know (Naila)
You are my one and only girl (Naila)
And I love you so much (Naila Anyoor)
You are my ombitho (Naila)
The words on every song (Naila)
Na sikushei ngo' (Naila Anyoor)
And I will sing waskie (Aeeeeeh)
That you are my Queen wavimbiwe (Aeeeeeh)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Naila (Single)


Added By : Jane

SEE ALSO

AUTHOR

LETEIPA THE KING

Kenya

Vampk254 also known as Leteipa the King is an Afro pop music artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE