Uhimidiwe Lyrics

Hauna mpinzani, usiye na kifani
Matendo yako ni dhahiri, hautawaliwi
Unabariki upendavyo, tena walaani utakavyo
Ni nani asimame mbele yako wee
Ni nani aseme baada yako wee
Wewe ni Mungu
Uhimidiwe, uhimidiwe
Uhimidiwe wewe ni Mungu
Uhimidiwe, uhimidiwe
Uhimidiwe wewe ni Mungu
Wewe ni Mungu mmh
Unapanguza machozi ya miaka mingi
Kwa siku moja tu wewe ni Mungu
Unakomesha kejeli
Kwa miujiza ya moto tu
Ni lipi likubabaishe
Uhimidiwe, uhimidiwe
Uhimidiwe wewe ni Mungu
Uhimidiwe, uhimidiwe
Uhimidiwe wewe ni Mungu
Uhimidiwe, uhimidiwe
Uhimidiwe wewe ni Mungu
Uhimidiwe, uhimidiwe
Uhimidiwe wewe ni Mungu
Uhimidiwe, uhimidiwe
Uhimidiwe wewe ni Mungu
Uhimidiwe, uhimidiwe
Uhimidiwe wewe ni Mungu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Uhimidiwe (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
EMMA OMONGE
Kenya
Emma Omonge is a gospel artist/ songwriter/worshipLeader from Kenya. ...
YOU MAY ALSO LIKE