Home Search Countries Albums

Yupo Mungu

STEPHEN KASOLO

Yupo Mungu Lyrics

(Jawabu studios)

Oh baada ya kuimba mapenzi ya kweli
Bwana nilikuona na ukanipa mapenzi ya kweli
Mungu ninaamini yakwamba upo Halleluyah

Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Kwa moyo uloumizwa
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Kwa moyo uloumizwa

Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Kwa moyo uloumizwa
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Kwa moyo uloumizwa

Kuna jambo nimelipitia
Likawasha moyo wangu moto
Nisaidie Bwana nielewe kwamba yupo

Nimepitia likawasha moyo wangu moto
Nishikilie kwa imani
Nisaidie Bwana nielewe kwamba upo
Upo wewe, Mungu wangu
Upo ninajua kwamba upo, mtetezi, mtetezi

Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Kwa moyo uloumizwa
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Kwa moyo uloumizwa

Nilianza nawe Bwana nitaenda nawe Yesu
Tamatisho yangu naomba 
Nikuone Bwana nielewe kwamba upo
Nina imani utanishikilia 
Ndio maana ninaimba Yesu wewe upo
Upo Mungu upo katika --

Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Kwa moyo uloumizwa
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Kwa moyo uloumizwa

Kesi yangu na hoja ya moyo wangu
Uione Bwana hakimu wa kweli
Upo Mungu upo naelewa upo
Usinyamaze, usinyamaze bwana
Ninakuaminia hakimu wa kweli
Upo Mungu upo tatua haya 
Upo Mungu upo mimi
Upo Mungu wee nina jua mimi

Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Kwa moyo uloumizwa
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Kwa moyo uloumizwa

Kimya baba futa machozi
Yupo Mungu kwa ajili yako

Nilikuona jana bwana nitakuona kesho
Na siku za usoni nitakuaminia
Hallelujah bwana ninakuita
Ingilia katikati unisaidie Mungu

Maana sitaki kufika mwisho maana upo
Upo Mungu upo, baba yangu upo
Upo Mungu upo, tatua haya 
Upo Mungu upo, baba yangu mimi

Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Kwa moyo uloumizwa
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Kwa moyo uloumizwa

Imani yangu imetingizika
Mawazo yangu yamechangwanywa
Kilio changu usiku na mchana
Nakutegemea, nakuita Bwana
Nakutegemea, nakuita Bwana

Usinyamazee wakati wa ninakuita
Sikia maombi yangu nielewe kwamba upo
Uliniahidi kule nitokako
Na kule niendako utasimama na mimi
Simama katika hoja zangu nitetee bwana
Machozi yamekuwa chakula changu mimi

Kilio usiku na mchana 
Nisaidie Mungu wangu mimi ni mwanao
Uliniteua, sanduku la agano
Nishikilie, nihurumie
Nihurumie ninaelewa we upo
Upo Mungu upo kwa moyo uloumizwa

Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Kwa moyo uloumizwa
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Yupo Mungu yupo, yupo Mungu yupo
Kwa moyo uloumizwa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Yupo Mungu (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

STEPHEN KASOLO

Kenya

Stephen Kasolo is a Kenyan gospel artist/Minister . He is a christ ambasador and best know for ...

YOU MAY ALSO LIKE