Wenyewe Lyrics
Kama ni gari umeliwasha limewaka
Na niko shwari iih ukwia kando sina mashaka
Vile vituto vya chumbani vi udi na ubani
Vagi la sunami hadi nasema kunani
Iwe baridi kali ama joto
Yani kwenye raha na msoto
Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe
Iwe kwenye gari ama kwa ngoko
Yani we kulia me kushoto
Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe
Haya mapenzi, yana wenyewe
Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi
Jama mapenzi, yana wenyewe
Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi
Hallo
Tuhame huku kwenye bangaloo
Twende masaki tuwarushe roho
Mapenzi yetu yawakabe koo
Halloo
Mwendo wa kupima
Uzuri flani rangi ya madina
Nikutoe dinner
Wavimbe macho kama wachina oh oh oh
Iwe baridi kali ama joto
Yani kwenye raha na msoto
Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe
Iwe kwenye gari ama kwa ngoko
Yani we kulia me kushoto
Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe
Haya mapenzi, yana wenyewe
Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi
Jama mapenzi, yana wenyewe
Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Wenyewe (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE