Achia Njia Lyrics
Wananitingisha sitingishiki
Nimeng'ang'ania seati
Hisia hazifichiki
Kipenda roho unakula hata nyama mbichi
Mapenzi yanashikanga ngangari
Mapenzi yana nguvu ya hatari
Moto wa kuotea mbali, kwisha habari
Nimeshazima gari
Waloshika mabangu wameingia mitini
Nakutana na ma dogo ya chini chini
Wanauliza napagawa na nini?
We unga unga mitambo mi niko hewani
Mambo yanaendaga na fani
Funga virago ya job huwezani
Bahari ikichafuka inakuja tsunami
Usipoelewa somo watu wanakupiga
Eehe nauliza majibu
Kupata heshima unachimba deepu
Ila ukitaka dharau ni very cheapu
Rudisha akili uliko azima
Huwezi kakutanisha milima
Tafuta kitu cha kujipima
Ukishindana na pombe unataka kuzima
Weka ushindani, fine, me I don't mind
Nauza sura mtaa people don't buy
And you know what? Sema bye bye
Haukai disco nimeingia masai
[CHORUS]
Achia njia
Achia achia njia
Achia njia
Achia achia njia
Achia njia
Achia achia njia
Achia njia
Achia achia njia
Nashangaa mataa
Biashara hailipi unakataa
Hapana bana, me I don't like that
Usinijaribu kama nguo ya kuvaa
Na break it down
Haaa!
Macho juu macho chini chini
Vipi umepoteza hadi screeni
Kachekesha mr. Beani
Acha kuchimba watu chimba madini
Huo uchizi umekuanza lini?
Au umefuata mambo ya mjini?
Heee
Uliwaza nini?
Kaacha viwanja kaja kucheza relini
[CHORUS]
Achia njia
Achia achia njia
Achia njia
Achia achia njia
Achia njia
Achia achia njia
Achia njia
Achia achia njia
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : chia Njia (Single)
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
DARASSA
Tanzania
Sharif Thabit Ramadhan's, better known as Darassa, is a recording artist, performer and songwrit ...
YOU MAY ALSO LIKE