Ujinga Lyrics
Mwenzenu I’m not available
I’m not available
Ilianza utani utani
Mara nimuite babe ye aiitike honey
Mara vi emoji flani vya kufamba macho
Kopa la kijani
Akasema ukitaka
Wewe kaka tunavuka mipaka
Na mimi nikataka
Na sasa moyo umetakata
Mwenzenu I’m not available
Sipatikani I’m not available
Mwenzenu I’m not available
Sipatikani I’m not available
Na nikimuonaa
Nawaza ujinga tu
Nataka nimshike
Nifanye ujinga tu
Hata akwia jikoni
Nawaza ujinga tu
Akitoka bafuni
Nifanye ujinga tu
Oh no no oh no
Nawaza ujinga tu
Kila mara
Nifanye ujinga tu
Akitoka bafuni
Nifanye ujinga tu
Nifanye ujinga tu
Kanitupia kijiti
Kwingine sipiti ooh habibi
Siwazi hata kucheat
Hanidhibiti ooh habibi
Ana ka kanga kakulalia, akinivalia
Usiombe akinipania
Anakuja ananivamia, ananikalia
Halafu yeye ndio analia
Mwenzenu I’m not available
Sipatikani I’m not available
Mwenzenu I’m not available
Sipatikani I’m not available
Na nikimuonaa
Nawaza ujinga tu
Nataka nimshike
Nifanye ujinga tu
Hata akwia jikoni
Nawaza ujinga tu
Akitoka bafuni
Nifanye ujinga tu
Oh no no oh no
Nawaza ujinga tu
Kila mara
Nifanye ujinga tu
Akitoka bafuni
Nifanye ujinga tu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE