Home Search Countries Albums

Shemeji Yenu Lyrics


Bilinge bilinge yooh yoh
Bilinge bilinge yooh yoh

Jirani ooh jirani kwani we ukipenda inakuwaje
Maana jaman ooh jaman minakuwaga , chizi mi mujinga kabisa
Mwenzako mimi nikipenda, kabla ya chakula natokwaga na udenda
Na sijui kusarenda yani ukig’ata ndio nazidi kukupenda
Na ninakinyongo au mivu umejaa
Mi sina dogoo mura vita ni vitaa
Na wakisema nikicheche ee, anacho nipa sijaona aaah wapi
Sitojaribu nimtete eeeh, anachonipa sijaona baby

Ndio shemeji yenu shemeji yenu hata mumtetee teteee
Ndio shemeji yenu shemeji huyoo ye ndio wapekee pekee
Shemeji yenu shemeji yenu huyoo, kwake nimesha zama kina
Ndio shemeji yenu shemeji yenu huyoo nimezama mazimaa

Nazishika nabeba lawama huu
Ataniua huyu motto wa mama mkwe hee
Chombo imetawala bahari maneno wala mimi sijali
Nataka anifiche twende mbali, niwe wakwake peke yake tu
Si mnasema nacheat mwenzenu siamin
Utamu wa kijitu ukuchome chini aki mimi na yeye mashahidi wa nini
Maana nikwel tumekula ya mini
Na wakisema nikicheche eee, anacho nipa sijaona aaah wapi
Sitojaribu nimtete eeh, anachonipa sijaona baby

Ndio shemeji yenu shemeji yenu hata mumtetee teteee
Ndio shemeji yenu shemeji huyoo ye ndio wapekee pekee
Shemeji yenu shemeji yenu huyoo, kwake nimesha zama kina
Ndio shemeji yenu shemeji yenu huyoo nimezama mazimaa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Romantic (EP)


Copyright : (C) Slide Digital


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

KUSAH

Tanzania

Kusah is a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE