Shegua Lyrics

Wanangu wamemiss milio
Leo wamemiss kucheza
Mbaghala wamemiss milio
Leo wamemiss kucheza
We fanya kama una shegua
Shegu shegu shegu shegu
Oooh unashegua
Shegu shegu
Kama unainama shegua
Shegu shegu shegu shegu
Oooh unashegua
Shegu shegu shegu
Hebu kwanza stop!
We dada usicheze chura
Unajifanya una aibu
Unacheza umeficha sura
Nyoo una hila wewe
Hauchezi bila kijora
Kumbe tumegundua we dada hauna chura
Jamani kama Snura huyu dada anacheza chura
Twende kama Snura wanangu wanacheza chura
Kama snura huyu dada anacheza chura
Twende kama Snura wanangu wanacheza chura
Wanangu wamemiss milio
Leo wamemiss kucheza
Mbaghala wamemiss milio
Leo wamemiss kucheza
We fanya kama una shegua
Shegu shegu shegu shegu
Oooh unashegua
Shegu shegu
Kama unainama shegua
Shegu shegu shegu shegu
Oooh unashegua
Shegu shegu shegu
Sawa mi sijui, we unajua I don't care
Ila ukinipatilia balaa utaumia
Angalia muni sipendi kupimwa utapotea
Nguvu zako za soda unafosi kunywa bia wewe
Wewe gas huna unafosi kujamba
Nguru kama china
Sishindani na washamba bwana
Wanangu wamemiss milio
Leo wamemiss kucheza
Mbaghala wamemiss milio
Leo wamemiss kucheza
We fanya kama una shegua
Shegu shegu shegu shegu
Oooh unashegua
Shegu shegu
Kama unainama shegua
Shegu shegu shegu shegu
Oooh unashegua
Shegu shegu shegu
Oh masela jamani chura
Chura mtundu huyo
Ah mwone anakatika kabinua
Ah ah ah ah
Jamani chura
Chura mtundu huyo
Ah mwone anakatika kabinua
Mmmh Ah ah ah ah
Matusi hayo kakufundisha nani
Siku hizi unakuwa unacheza chura hadharani
Midada matusi hayo kakufundisha nani
Siku hizi umekuwa unacheza chura hadharani
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Shegua (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE