Home Search Countries Albums

Mke Lyrics


Ukiona nimebana pua
Basi ujue kunanuka

Kwa jina me naitwa tawa
Ukipenda niite baba lao
Mwenzenu mimi napenda mpira
Kwasababu nimetokana na bao
Ebhana kuna huyu dada
Tulikutana kwenye mitandao
Kwakua nilitaka kumuoa
Ikabidi anipeleke kwao
Richa linaanza ile nafika kwao
Nikakuutana na walinzi
Hao walinzi juz juz tu
Waliniokoa kwenye fumaniki
Akatokea mmoja katiyao
Na kunambia za saa hizi
Nikajifanya sina habari nao
Yani nikajif anya niko busy
Asa nilivyokaribishwa ndani
Appo nikata mani kukimbia
Nilivyomuona mfanyakazi wa ndani eeh
Yani bhana kumbe Yule yule teddy
Niliempa mimba kijijini eeh
Ambae nilimuacha anapata tabu
Nikamkimbia nikaja mjini eeh
Mara nikasikia sauti sikujua inatoka kwa nani
Ile kupepesa macho ooh jamani
Uso kwa uso na kaka yake wa damu
Ampae ananitafuta kisa nilimgongea demu
Nilipoona ubaya huo
Alipotokeamama yao (mama yao)
Kumbe mama yao bhana sugar ma mamy
Ambae amenipangia kinondoni
Nifanye nini mimi leo jamani
Natafuka njia siioni
Mara baba yao nae akatoka ndani
Hapo ndipo nikazidi kudata
Mzee qao ni jaji mahakamani
Ambae alisimamia kesi yangu kupaka
Nachojiuliza miee
Jeh nitapata mke
Nachojiuliza
Jeh nitapata mke
Jeh nitapata
Jeh nitapata mke
Jeh nitapata mke
Nachojouliza
Aah masawali yangu
Jeh nitapata mke ayeye aye
Jeh nitapata mke

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Mke (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

KONTAWA

Tanzania

...

YOU MAY ALSO LIKE