Home Search Countries Albums

Bangi

NDUATI

Bangi Lyrics


Nimetoka kuskia ngoma fulani kuhusu bangi
Ni ka analipwa vile anasifu bangi
Ungedhani ni mluhya anaongelea kisiagi
Dakika tatu mzima ni kusifu tu bangi

Niko na swali, mbona mnapenda bangi?
Ju inawabebenga ka maji ya Budalangi
Ndo inakufanya high uko light kikaratasi
Labda ina syke ya kupunguza stress kiasi

But niko na swali? Hauna wasi wasi
Na ju umejiachilia kama nywele za farasi
Hujielewi unaanza ku act kama dwanzi
Unadhani umetulia kumbe uko na sarakasi

Ubaya wa bangi mashida haimalizangi
Hazija-dissapear umeziwacha pale parking
Ukitoka mahewani utarudi duniani
Mashida zimekungoja zimeongeza kisirani

Promise ya bangi ikuweke mahewani
Ukuwe high ni kama umepanda ngazi
Material unahitaji buda kwani hauradi
Inakupromise heaven but haikufikishangi

Kila siku unahitaji mali safi
Siku haiishi kama hujavuta bangi
Mkisema zimewashika kumbe hambahatishangi
Ju ya venye mko hooked kama ndoano na samaki

I think ni funny hii stori ya bangi
Vile we hupost hakuna siku hauwashangi
We hutake pride ati wewe huvuta bangi
But uko sure aje hii bangi haikuvutangi

I think ni funny
Hakuna siku hauwashangi
But uko sure aje 
Hii bangi haikuvutangi

Nimalize wimbo na Yesu simtaji
Hio ni ngumu kwangu ni kama dhambi
Kutotaja Yesu buda haiwezekani
Ni ka kupata mokorino kwa army

Unaona ngwai inakufanya high
Lakini ukiwa na Yesu anakupa uhai
Bangi inafanya ujisahau kiplani
But Yesu anakuonyesha ukweli we ni nani

Niko na swali, utaacha bangi?
Najua kuna mashida hata Yesu habishani
Alisalitiwa akapigwa mabare
Akageuziwa akadungwa misumari

Akauliwa but sasa ako hai
Roho wa Mungu alimfanya alive
Unaweza jaribu bangi zote kwa hii life
Lakini hakuna bangi inaweza ku revive

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Bangi (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NDUATI

Kenya

Nduati, real name Samuel Nduati Murigi is an a conscious artist from Kenya. He is a gospel minister/ ...

YOU MAY ALSO LIKE