Ongeza Debe Lyrics

Ongeza debe, ongeza debe
Ongeza debe, ongeza debe wakipunguza
Ongeza debe wakipunguza
Hii flow ni kali naitema ka taxin
Nikibonda stease na mapunchline ka Ali
Naroga hadi namaliza biz ya mchawi
Nikingoja kuona witch doctor Marsabit
Una masaa a bit unishow samahani
Nikianza kuimada kama dish kwa sahani
Nakam kuisanif uache mali safi
Raia watasample hii kejani na kwa mbali
Ongeza debe, ongeza debe
Ongeza debe
Ongeza debe wakipunguza
Ongeza debe wakipunguza
Scar niko mi sibadili
Niko hivo na sijachapa - wiki
Mi niko macho mi sibabaiki
Na mi napenda hustle
Bado mi sijaburry Nipsey
Aii bro uskii RIP
Hata ka ni risky bado boss anainsist
Saa zingine ni fiti kujifanya fala hii street
Shida yangu kubwa ni mimi bad can I see
Ah ah ah ah ongeza debe
Mi nitakam solo we unaweza kam na rende
Kama sio mchoro ya mkwanja eleza uende
Na sista yako ananimezea we meza wembe
Na nalive life its like imeshijipa
Ni yule Mr riz mangwai ka hujanyita
Design zimeninyc nikiskiza zimenishika
Nimemiss East by now ni miezi sita
Ongeza debe, ongeza debe
Ongeza debe
Ongeza debe wakipunguza
Ongeza debe wakipunguza
Ongeza decible ju nisha JBL
Hadi neiba alete nakata uipunguze
Songesha mwili ni kama uko under influence
Ya kired makali na ki lucozade
Main man mi saba niko baze
Mambleina husaka sawa on the place
Naleta actions kama semi president
Na maveteran wanajua mimi ndio next
Chief connect ukidai mali safi
Nabring disco back ni kama tec 90s
Mi na Scar ni mapro kwa hii kazi
So rewind the track na urewind kiasi
Ongeza debe, ongeza debe
Ongeza debe
Ongeza debe wakipunguza
Ongeza debe wakipunguza
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Adventures of Chris Kaiga (Album)
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
CHRIS KAIGA
Kenya
Chris Kaiga is an artist from Kenya. He is best known for his unique flow in music and catchy phrase ...
YOU MAY ALSO LIKE