Home Search Countries Albums

Pretender

KEDDY Feat. SSARU

Pretender Lyrics


Pretender, pretender
Ssaru, its KK
(Alex Vice)

Haga ni biggy kumbe ni silicon
Chini ya waba we uko fishy
Lele kumbe wewe hupenda ndizi
We ni pretender you can pretend that

Cheza na pedi pigwa ndondi
Cheza na odi uone mbogi
Acha kujifanya mlala hoi
Acha kujifanya mlala heri

We ni pretender tender tender
We ni pretender! (We si Mzii)
We ni pretender, tena
(We si Mzii)

We ni pretender tender tender
We ni pretender! (We si Mzii)
We ni pretender tena
(We si Mzii)

Niliskia ulitiwa mbaroni
Yaani kumbe we ni gondi
Acha kujifanya odi
Bamba rende kufa solo

We si manyanga we ni dimanga
Kizungu ilikuja na meli
Stop pretending you are bad
Ka ni vita niko ready
Am sorry to say your work

Adui mpende ye ni mtrue
Rafiki mchunge anajifanya
Wao ndo hukuangusha
They happy when ukianguka

I am the illest sai sipigi madawa
Unasema eti umeokoka kumbe nje unagawa
The church full of firm believers
Na gava inacheza na sisi

Wewe ukivutanga tenje, haikosi ni ganji unadai
Kwa picha pale mafilter na bafu pale huogi
Mi nikistruggle you never supported my hustle
Imma put you in my past

Haga ni biggy kumbe ni silicon
Chini ya waba we uko fishy
Lele kumbe wewe hupenda ndizi
We ni pretender you can pretend that

Cheza na pedi pigwa ndondi
Cheza na odi uone mbogi
Acha kujifanya mlala hoi
Acha kujifanya mlala heri

We ni pretender tender tender
We ni pretender! (We si Mzii)
We ni pretender, tena
(We si Mzii)

We ni pretender tender tender
We ni pretender! (We si Mzii)
We ni pretender tena
(We si Mzii)

[Ssaru]
Mrazi we ni pretender
Fanya unahate na kumbe unapenda
Hapa nimekuja kusema kutenda
Ka miaka zangu ni moja na kenda

Nichoche venye unanipenda
Na kukithoka najua utanitenda
Daily nikitafuta tender
Unasema twende kwa babu huko Pemba

Siku nilichafua show 
Arif hakuturn up na ye ndo alimark kalenda
Mi inanichoma kwa roho sai ata kuna nigga
Mahali anavizia Enga

Rada ni chafu ju mi ndio defender
Fika kwa game bado nakuchenga
Chocha uko Runda na kumbe uko Fedha
Picha ukipiga unatumiwa Xender

Siku hizi nacheki wameanza kunidiss
Na ass wanahate ndo ass wanakiss
Ssaru wa Manyaru alichorea beef
So "Pow pow" kula moja ya peace

Ndio nimefika and I got the keys
Am making you niggas go down on youe knees
Umeleta usoro na hujakuja solo
Umekuja na nigga ana colour ya cheese

Haga ni biggy kumbe ni silicon
Chini ya waba we uko fishy
Lele kumbe wewe hupenda ndizi
We ni pretender you can pretend that

Cheza na pedi pigwa ndondi
Cheza na odi uone mbogi
Acha kujifanya mlala hoi
Acha kujifanya mlala heri

We ni pretender tender tender
We ni pretender! (We si Mzii)
We ni pretender, tena
(We si Mzii)

We ni pretender tender tender
We ni pretender! (We si Mzii)
We ni pretender tena
(We si Mzii)

Kwa shamba nyonde zinajua we si human being
Wanasema gengetone ni vulgar kumbe wao ni mafans wa Nicky
Dem mweusi msupa sai ni mzungu (Bleaching)
Kwa status ni love goals kumbe we fisi

Ganji hairidhishi bado nasaka ndio nyi mdishi
Ukidhani mbele sifiki kwanza nakuja na mori sifichi
Ukiwa kwa hepi utawakemba ukiwa kwa ngori hutawaona
Wanakuhepa mfuko ikikonda, wako wengi mfuko ikinona

Mali unawapa ndo watakupona
Story wanatangaza ndo itakuchoma
Mi nitakufyeka na nitakushona
Cheki na watoto wamekuja kunyonya

We si Mzii!!!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Pretender (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KEDDY

Kenya

 Keddy is an artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE