Cheza Ndaki Lyrics
(Siren on the Beat)
Mchoko ukiskizwa utaweka gastic ya mababe
Iguzishwe dorari ndo ukacheze ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki
Ju ukiskizwa utaweka gastic ya mababe
Iguzishwe dorari ndo ukacheze ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki eeh
Ashanishikaga toja
Anatakaga tarimbo inakaaga ka anaconda
Mi huchafuaga rada naipanguza na madoh kwa mbosho
Mi hushikisha mogoka kashatona kokoto
Nichanganye maduya na mabengu za coco
Ati mi hutakaga sura nibleach kidogo
Ndio niskie venye mtabonga mi nitrend kidogo
Cheki unaskia ni Njoki si rado haga ni shuge
Mtoto jo ana rasa Mirema choche za Ungem
Ama nimpige Timba sporti aringage na shoe game
Ati A, yu hudai nimteke
C B, yudai tu mimi C C
Mchoko ukiskizwa utaweka gastic ya mababe
Iguzishwe dorari ndo ukacheze ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki
Ju ukiskizwa utaweka gastic ya mababe
Iguzishwe dorari ndo ukacheze ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki eeh
Mi ndio Pitah Scarlet kijana mtamu
Ule wa kukula tako kwa mbulu vitamu
Unajua nyi hudhani nimetupa fahamu
Lakini moves zangu zote ziko kwa damu
Mi huchizi wakishake wakishikilia wall
Wawe wafupi watall, wawe weupe wacall
Mi sijali bora nimefanya duties zangu all
Ah ah uliza ndoll
Ju ukiskizwa utaweka gastic ya mababe
Iguzishwe dorari ndo ukacheze ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki
Ju ukiskizwa utaweka gastic ya mababe
Iguzishwe dorari ndo ukacheze ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki eeh
Napiga na matemper nikitema Ketepa
Navuruga hio kitu inaskia hadi kusepa
Nacheza bila refa majasho zinamwagika
Yayeyuka kama vapour naspend tu mapesa
Ah nyama kwa nyama, ka mshikaki
Mi sitaki ka si ndaki
Moto mwaki makaa ibaki
Moto mwaki makaa ibaki
Umeivana ukitingisha mastingo flani
Si ka Suzanna maringo mingi hananga yaani
Ye hananga chali na hananga bumpi
Magizani niku we utamwaga ndani
Aii mami sitoki leo niko indoors
Before utoe kithong hands akimbo
Unamwaga jasho ata afadhali kukaa kwa diro
Uii aii, pi pi
Ju ukiskizwa utaweka gastic ya mababe
Iguzishwe dorari ndo ukacheze ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki
Ju ukiskizwa utaweka gastic ya mababe
Iguzishwe dorari ndo ukacheze ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki eeh
Ulala mi nashangaa nina bash
Na bado boss mi hubonda utadhani nafast
Ni compe na Matheri ju ni beat na kang'a
Mi mahuru from Bat sichilingi na mbang'a
Napiga chwadiko combination sichanga
Magizani naparty bad mi si mganga
Boss teremsha teremsha mos mos
Napenda vile unapiga flat Vod
Niko aire nawai flight mode
Hapana gwaya Bolo bado pilot
Aaii unagwaya nini fathe
Shika hii nipe bill ina pake
Mtu mbili mbili kichwa ngiri mbili mbili
Nalipa bill unadhani don Bolo ndo Jimmy Wajigi
Ju ukiskizwa utaweka gastic ya mababe
Iguzishwe dorari ndo ukacheze ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki
Ju ukiskizwa utaweka gastic ya mababe
Iguzishwe dorari ndo ukacheze ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki
Ndaki ucheze ndaki ndaki eeh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Cheza Ndaki (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
KAPPY
Kenya
Kappy aka 'The Lyrical Doctor' is a Gengeton artist from Kenya, Kappy is a member of&nb ...
YOU MAY ALSO LIKE