Wacha Waumie Lyrics
Ana kasura kazuri kama Minaj
Mtoto tamba lake la Kiswazi
Nimedata mpaka nahisi kuchizi
Kwake nanoga nazi
Uzuri wake wala si wa mikorogo
Kanichanganya mpaka sioni vigogo
Akitembea anambwembwe kidogo
Tamu mpaka kisogo
Sema nini unataka baby
Ama kokote tutaenda cheriiee
Napendaga ukivaaga ma belly
Tuwaumize akina naniii
Wacha waumie wenyewe
Aki unanipaga kiwewe
Tuishi milele mi nawe
My Kenyan beauty ayee
Ka cute cute ayee
Utamu wa sweeti
We ka chocolate
My Kenyan beauty ayee
Ka cute cute ayee
Utamu wa sweeti
We ka chocolate
Amenipaga kasmile katamu
Namwimbia na kamelody katamu
Kuwachana naye mi ni haramu
Washakusifu wote daddy na mum
Ongeza mapenzi kidogo
Mwenzako nitoe kinyongo
Wengine waone vinyago
Ah-ah usinilambe kisogo
Sema nini unataka baby
My pretty mama
Sema nini unataka baby
Ama kokote tutaenda cheriiee
Napendaga ukivaaga ma belly
Tuwaumize akina naniii
Wacha waumie wenyewe
Aki unanipaga kiwewe
Naishi milele mi nawe
My Kenyan beauty ayee
Ka cute cute ayee
Utamu wa sweeti
We ka chocolate
My Kenyan beauty ayee
Ka cute cute ayee
Utamu wa sweeti
We ka chocolate
My Kenyan beauty ayee
Ka cute cute ayee
Utamu wa sweeti
We ka chocolate
My Kenyan beauty ayee
Ka cute cute ayee
Utamu wa sweeti
We ka chocolate
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Wacha Waumie (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
HARUN DEEY
Kenya
Harun Deey (Bossdon) is an East African musician, singer and songwriter from Kenya. ...
YOU MAY ALSO LIKE