Home Search Countries Albums

America

KALA JEREMIAH Feat. ZEST

America Lyrics


Attention please

Oya Trump nipe visa
Bill Gate nipe pizza
Iwe kama miujiza
Acha waseme ni nguvu ya giza

Nasali mpaka nina sigida
Sina rafiki, sina ndugu Dar
Mangaluka mlichiza
Mandilaga wiza

Nafumba macho navuta hisia
Naona dollar zinaning'inia 
Nimechoka kusikilizia
Acha nisafiri ata kwa maji kama kinikia

Ata kibishi nitazamia
Hata ndege nitandandia
Siwezi sema nitachikichia
Lazima nirudi maana bongo nina familia

Usinifuate, acha! 
Mi nataka kwenda America, acha!
Mi nataka kwenda usinifuate, acha!
Mi nataka kwenda America, acha!
Mi nataka kwenda

Ninataka, ninataka ninataka 
Ninataka kwenda America, yeah
Yaani nataka, nataka, nataka
Nataka kwenda America, yeah

Bado nasubiri asali
Ninasubiria safari
Bwana snitch kaa mbali
Mwaga mboga nimwage wali

Moyo unakwenda mbio mbio kama pikipiki
Ma Yuda wangu watakoma dili likitiki
Yeah, yaani watapata taabu sana
Wale walionifanya kutubu mwaka jana

Hebu Trump nipe visa
Bill Gate nipe pizza
Na nimepanga kulipiza
Na nimejiapiza
Naona kama miujiza
Naona nimewamaliza

Usinifuate, acha! 
Mi nataka kwenda America, acha!
Mi nataka kwenda usinifuate, acha!
Mi nataka kwenda America, acha!
Mi nataka kwenda

Ninataka, ninataka ninataka 
Ninataka kwenda America, yeah
Yaani nataka, nataka, nataka
Nataka kwenda America, yeah

Am black don't shoot me
I have a dream don't kick me
Am a Martin Luther King  
Love one another 
For the future of human being

Let me see Kilimanjaro
Serengeti, ngorongoro
Na mikumi ya Morogoro 
Ila acha niende nikasake kama mwanapolo

Ninaipenda Tanzania
Nchi yangu najivunia
Mzalendo mwenye nia
Nitarudi kusalimia

I wanna come to America
I wanna visit America
I wanna hurry in America
I wanna live in America

Usinifuate, acha! 
Mi nataka kwenda America, acha!
Mi nataka kwenda usinifuate, acha!
Mi nataka kwenda America, acha!
Mi nataka kwenda

Ninataka, ninataka ninataka 
Ninataka kwenda America, yeah
Yaani nataka, nataka, nataka
Nataka kwenda America, yeah

Acha! Acha! Acha!....

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : America (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KALA JEREMIAH

Tanzania

Kala Jeremiah is an East Africa hiphop ambassador from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE