Mtuache Lyrics

Ooohh
Mpya nguo sina kila siku mnaniwaza mnaniwaza
Eti nimepinda kila siku ninalizwa ninalizwa
Si bora mngetuacha
Kwani mnanidaiii
Sibora mngeniacha
Kwani mnanidaiii
Aaaaah Mama amekuita Veronica
Mimi nakuita sinorita Mama sita malavidavi
Telemundo temtelevida
Kweli shida zipo Ila mi nataka kuishii naaaa
We jua nakupenda sanaa sanaa aaah
Fanya fanya twende kwa mama mamaa aah
Aaaah ye wa maishani ... bring but say (Aaaaah)
Tupo kifungoni ... what can I say (aaaaah aaah)
Ye wa maishani, maishani, maishani (aaahaa)
Tupo kifungoni oooho
Toto lina shape nyuma limenona nona jina
Minapiga peku ile mbuzi kagoma
I swear my darling we mama laaa mama laoooo
Unanipenda unanijali unanifaaa aaah
Naona nyota imewaka kila kona
Kila mmoja anafurahi kuniona
Kila kitu kiko shegaa hakuna nomaaa
Eeeh hakuna noma
Nipe kisu nikate nyama
Ikiiva nikulishe nikulishe eeh...
Lako kiss siwezi kusema na pete nikuvishe ..eeh
Aaaah aaaha ye wa maishani ... bring but say (aaaaah)
Tupo kifungoni ...what can I say (aaaaah aaah)
Ye wa maishani, maishani, maishani (aaah)
Tupo kifungoni
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Mtuache (Single)
Added By : The Dreamers
SEE ALSO
AUTHOR
THE DREAMERS
Tanzania
The dreamers is a music group from Dar es salaam Tanzania. The Group is made up of super talent ...
YOU MAY ALSO LIKE