I Need You Lyrics
Ooh yeee yeee ye
Eeeeh eeeh eeeh
Ooooooh
Jay once again! again
Kama kuniita
Niite nitaitika
Niwe Kinondoni
Mwananyamara Tandika
Ata kwa miguu baby
Mie haraka nitafikaa
Mwenzako nikikuona
Moyo wangu unapwita
Ah wu wu wu wu wuuu
Niite kwako tunywe bia (Aaaah aah ah)
Kwa maana ukijifanya unioni
Mie mwenzako nitaumia (Aaaah aah ah)
Wu wu wu wu wuuu
Niite kwako tunywe bia (Aaaah aah ah)
Natukae mpaka morning
Nakutania tania (Aaaah aah ah)
Nanikuambie ukweli tu
I - I - I need you
Baby nikuambie ukweli tu
I - I - I need you
Ah nanikuambie ukweli tu
I - I - I need you
Baby nikuambie ukweli tu
I - I - I need you
Zombieoooooh
Iyeyeyeee
Kuhusu mapenzii
Nimeshakuwa sisikii
Nimeshakuwa kisikii
Na hata kung’oka
Mkitaka sing’okii
Mmmh
Ukweli siwezii
Kwenye hii dunia kuishii
Bila ya penzi lako
Mwenzako nitakufa
Nitazikwa mazishii
Uh wu wu wu wu wooo
Niite kwako tunywe bia (Aaaah aah ah)
Kwa maana ukijifanya unioni
Mi mwenzako nitaumia (Aaaah aah ah)
Aah wu wu wu wu wuuu
Niite kwako tunywe bia (Aaaah aah ah)
Natukae mpaka morning
Nakutania tania (Aaaah aah ah) Eh
Nanikuambie ukweli tu
I - I - I need you
Baby nikuambie ukweli tu
I - I - I need you
Baby nikuambie ukweli tuuu (Nikuambie ukwelii)
I - I - I need you
Nikuambie ukweli tu
I - I - I need you
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : I Need You (Single)
Copyright : © 2023 AFRICAN BOY REC
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE