Mifupani Lyrics

Unipae afya mifupani mwangu
Ninakuamini, ninakuamini
Nimekujua na nimekuona
Ninakuamini, ninakuamini
Unipae afya mifupani mwangu
Ninakuamini, ninakuamini
Nimekujua na nimekuona
Ninakuamini, ninakuamini
Tumaini langu ni wewe tu, ni wewe tu
Msaada wangu ni wewe tu, ni wewe
Kimbilio langu ni wewe tu, bwana ni wewe
Mungu wangu ni wewe tu, ni wewe tu
Unipae afya mifupani mwangu
Ninakuamini, ninakuamini
Nimekujua na nimekuona
Ninakuamini, ninakuamini
Tumaini langu ni wewe tu
Msaada wangu ni wewe tu
Kimbilio langu ni wewe tu
Mungu wangu ni wewe tu
Japo machozi yananitiririka
Ila acha yatoke yasafishe macho
Ili nikuone wewe tu, wewe tu
Wewe tu, nikuone wewe tu
Nikujue wewe, zaidi
Kupitia haya, zaidi
Nikujue wewe, zaidi
Wewe unipae ...
Unipae afya mifupani mwangu
Ninakuamini, ninakuamini
Nimekujua na nimekuona
Ninakuamini, ninakuamini
Unipae afya mifupani mwangu
Ninakuamini, ninakuamini
Nimekujua na nimekuona
Ninakuamini, ninakuamini
Msaada wangu ni wewe tu
Kimbilio ni wewe tu
Mfariji wangu ni wewe tu
Msaada wangu ni wewe tu
Mfariji wangu ni wewe tu
Wewe tu, wewe tu
Nitakuona wewe tu, wewe tu
Kanisani nitakuona wewe tu
Nimekujua na nimekuona
Nimekuamini, nimekuamini
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Trust (EP)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE