Home Search Countries Albums

Sherehe Sheria

JOEFES Feat. MBUZI GANG, JOVIAL

Sherehe Sheria Lyrics


London, London
The baddest
(It's Your favourite boy)
Kashkeed on the Track

Mi mang'aa napenda life
Napenda dem anajidai ati amevai
Kama ni looku piga white ni kama amedye
Ako machingri mangwai na beer lite

Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya)
Warukera inama chuchumia (Ala)
Hio ni mwiko si miwa umekalia
Ni sherehe na haitaki masheria, sheria

Nadai mucome, kuna sha Nadia Mukami
Sheria lazima mfuate ju ya serikali
Askari sura yake wavy ka ya Khali
Kali-Sa lazima ufuate kodi
Sarkodie bash hatuwezi get cosy
Corona, corona tulishikiwa kwa kona
Na mbona unaendesha ni kama uko na cholera
Afande sa!

Sheria pia ni wera
Kukata maji mnajifanya Musa
Nanusa watoi mliomba nani ruhusa
Kipusa this time tulibeba Jovial
Mbuzi ndio rende hatutaacha za ovyo

Mi mang'aa napenda life
Napenda dem anajidai ati amevai
Kama ni looku piga white ni kama amedye
Ako machingri mangwai na beer lite

Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya)
Warukera inama chuchumia (Ala)
Hio ni mwiko si miwa umekalia
Ni sherehe na haitaki masheria, sheria

[Jovial]
Nakata maji nasambuka, nikibleki nazinduka
Shetani amepanda jini mkata kamba, serikali inapindua
Mi ndo kiboko yao, wakisleki tunapita nao
Tena haina kuchao, yaani uuh, baby we ndo mama yao

Afande pita ndani yaani we chuma ina lala ndani
Shamra shamra za kibabi, uuh we enjoy the party
Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche
Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche

Mi mang'aa napenda life
Napenda dem anajidai ati amevai
Kama ni looku piga white ni kama amedye
Ako machingri mangwai na beer lite

Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya)
Warukera inama chuchumia (Ala)
Hio ni mwiko si miwa umekalia
Ni sherehe na haitaki masheria, sheria

Kata maji you can't bwogo me
Gidigidi maji maji can't koro me
Thobo thobo kumguza chobo 
Ashaskiza utamu hadi kisogo

Kukata maji ni sheria
But mbona sa unamix Konyagi
Ndani ya chang'aa Fathermore
Unakataje maji na haujadishi
Fisi mimi bleki dem yako mi nadishi
Na kama ni vegeteriana bado atakula njiti

Nikiwa deep end deep end
Si na depend depend
Bars kibao sa itabidi umenikunywa
Na ka hujaput hii si utabidi umejichuna

Mi mang'aa napenda life
Napenda dem anajidai ati amevai
Kama ni looku piga white ni kama amedye
Ako machingri mangwai na beer lite

Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya)
Warukera inama chuchumia (Ala)
Hio ni mwiko si miwa umekalia
Ni sherehe na haitaki masheria, sheria

Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche
Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche
Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche
Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche

(Black Market Records)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Sherehe Sheria (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

JOEFES

Kenya

Joefes was born in Kisumu City, Kenya in the mid-90s and named Joseph Getugi Nyamweya then later nic ...

YOU MAY ALSO LIKE