Home Search Countries Albums

Wanjiko

DMORE Feat. BENZEMA, NELLY THE GOON

Wanjiko Lyrics


Oya...mmmmh man Ochungulo
Nimochoe, nimochoe brathe basi
Tuko tu zabe, tuko tu zabe basi
Mmmh yeah mmm

(Motif Di Don)

Umekonda na bado unakaza
Una ringa na bado huna ladha
Umechapa na bado umebonda
Na bado unacheka na ata huna haga

Chafua, chafua meza na thiang'a
Chambua asikuwe kalewa
Naye naye atakaye kilema
Chapa adi alie akihema 

Na looku, mi hupiga looku
Na dudu mi huwapa dudu
Toto kanalilia mjulus
Mi kingpin siwezi lalisha

O-O-O-Onyisho-O
Walenje makondiko
O-O-Wanjiko-O
Ako Keg na maombitho

O-O-Ombitho-O
Keg na maombitho
O-O-Ombitho-O
Keg na maombitho

Ni mrasta namtaka
Ukinitoka nitakufuata na tracker
Alenjandro mad made tractor
Bulldozer wa paka 

Halal, Halal
Niliona Mia Khalifa ndani ya church
Alikuwa amevaa blazor ya patch
Tabia ya dem ametoka Katch

Sukumawiki nasukuma wiki
Ukichagua kiki kuwa mpicky
Licky licky itakuwa iky iky
Nitakumwagia kutu ya wiki

O-O-O-Onyisho-O
Walenje makondiko
O-O-Wanjiko-O
Ako Keg na maombitho

O-O-Ombitho-O
Keg na maombitho
O-O-Ombitho-O
Keg na maombitho

Wangida baba wanginda
Zangida wa candy girl
Mama Ngina aii muratina
Na Itina, Karatina

Da fact, Siwezi call back na unanidivert
Da fact, Shirt ikilast kesho utanicall first
Da fact, Faxe ni faxe we husema facts
Da fact, We unajua clark Kent mi najua Clarks
Da fact, Mi najua taxi we unajua tax
Da fact, We unakula nyash mi nakula nyap

O-O-O-Onyisho-O
Walenje makondiko
O-O-Wanjiko-O
Ako Keg na maombitho

O-O-Ombitho-O
Keg na maombitho
O-O-Ombitho-O
Keg na maombitho

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Wanjiko (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DMORE

Kenya

Dmore is a Kenyan artist from the group Ochungulo Family. ...

YOU MAY ALSO LIKE