Balance Lyrics

Youthman anashine unajam my guy
Wangapi walidhani tutafail baadae
Nika hatuna God (sisi)
Kijana amepotea kwa gode
Waah si unabonga my guy
Unaficha mi nina show badae
Huh mambo ya God
Walai
Vijana barubaru wanapenda my vibe
Balance push balance
Vijana wako nje wanapush balance
dush fala push balance
Vijana tuko njei tunapush balance
Salaaaaaale
Sala tulipiga wanashindwa
Ni waaaaaaale
Sanaa inajipa my guy
Youthman we shine watajam my guy
Blogger anadhani utafail badae
Nikaa ye ni God
Pale YouTube anajifanya mode
Pass gode hii ni polite notice
We nibonge juu inakupa profit
Ni bag unachase mi ndo topic
Ni nani chopi ni nani wanacopy
Youthman mi nashine mi nimfine
Table ni kubwa sote si kudine
Watu bloody wanakazia dime
Tuko na God na pia tuko na time
Youthman anashine unajam my guy
Wangapi walidhani tutafail baadae
Nikaa hatuna God (sisi)
Kijana amepotea kwa gode
Waah si unabonga my guy
Unaficha mi nina show badae
Huh mambo ya God
Walai
Vijana barubaru wanapenda my vibe
Balance push balance
Vijana wako nje wanapush balance
dush fala push balance
Vijana tuko njei tunapush balance
Salaaaaaale
Sala tulipiga wanashindwa
Ni waaaaaaale
Sanaa inajipa my guy
Balance push balance
Vijana wako nje wanapush balance
dush fala push balance
Vijana tuko njei tunapush balance
Salaaaaaale
Sala tulipiga wanashindwa
Ni waaaaaaale
Sanaa inajipa my guy
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
JOEFES
Kenya
Joefes was born in Kisumu City, Kenya in the mid-90s and named Joseph Getugi Nyamweya then later nic ...
YOU MAY ALSO LIKE