I believe Lyrics
Hadithi hadithi njoo
Nianze wapi, niseme nini
Mamangu she didn't know
Hizi shida zitaisha lini
Nakumbuka, tulizunguka
Kutafuta chakula
Tulizunguka, kuomba maduka
Kote kote tulifukuzwa
Tukachukizwa
Kila siku sala Mungu tenda miujiza
Mama alilia, akijiuliza
Nimlipe nani baraka ziwe nami?
I believe, I believe
Ninaweza, unaweza
I believe, I believe
Tunaweza, tunaweza
I believe, I believe
Ninaweza, unaweza
I believe
One, barabarani kuomba omba
Two, miaka miwili bila nyumba
Three years nikabaki na mama pekee
Four, mama ajali imtokee
Five, bado tulistruggle tulifight
Six, surprise, a phone call changed my life
Seven, eight and nine, Wimbo wa Historia
Ndege nikapanda, Prezzo nikamuona
Tulifukuzwa, tukachukizwa
Kila siku sala Mungu tenda miujiza
Mama alilia, akijiuliza
Nimlipe nani baraka ziwe nami?
I believe, I believe
Ninaweza, unaweza
I believe, I believe
Tunaweza, tunaweza
I believe, I believe
Ninaweza, unaweza
So many days, so many nights
Thinking I prayed in vain
But I chose to believe
And now I see,
Miracles can come to be...
I believe, I believe
Ninaweza, unaweza
I believe, I believe
Tunaweza, tunaweza
I believe, I believe
Ninaweza, unaweza
I believe, I believe
Ninaweza, unaweza
I believed
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : I Believe (Single)
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
LEYLA
Kenya
Leyla is a young, upcoming and amazing talent in Kenya. She became famous when she had an opportunit ...
YOU MAY ALSO LIKE