Home Search Countries Albums

Kata Keki

JODYE FANETO

Kata Keki Lyrics


Man akidelay na guap Dauwo inapigwa mosheki
Walai hatucheki tukikam utakata keki
Yo, unacatch hio fade unapigwa shaving
Nikikushika lurking, pow! Chupa ya cabin
Walai madawg wa mine ni cutthroat na wana rabies
Verbal long but G ni msweet kaa diabetes

Mbogi ya mine Madrid dem man wanamove kaa RealBetis
More time Nina Gean ukileta umama unakatwa deki
Tumefinesse hii pack hapo kwa Mushiri Me, Guss na Tecky
Namrusha wasitiri Marlo analia mi nadai kudedi
Niliacha kutrap na location wazing huchoma wakipata craving
But still Niko charged kaa battery namove on the regs kaa Eveready

Mi na pull up natrap Jo turf ya kwako na sikati keki
Mi nasafisha nimepin chogi kinde ya fegi
Guss anadunga ako Mtish feds wamemshika jeki
Wamemnick na jays ati young nigga kata keki

Drilla ukitumia flow ya mine unakata keki
Au nikikupata mtaani lurking itabaki ume leg it
Usifiche Sura kwa track unachachisha we ni thegi
Sema Tu hudai Jo mokoro akucheki
Gyalie on me nlimmeet kwa Deli
Leng Sura ni 6 over 10 but back amejaza keki
Bitch yunicall the woo juu kaa ni Room walai si hushake it

Siezi cuff Huyu Peng jo ananeed saving
Nlidhani ni play thing bitch anadai jo wedding
Vile nlikata hio keki piga chuma alidhani ni welding
Anadai Jo we ni m-overwhelming
Na mi sisleki namback kwa nigga yumbuyia Fendi

Bitch me naflip hii Mali pereka hio story ya kumeet wikendi
Ilibaki nimtrace dem aliitisha Vela 20
Nilimwacha ameRiri mi ni Savage kaa Fenty
We unadhani nakuseti sare bitch ebu kata keki

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Roadman Chronicles (EP)


Copyright : (c) 2022


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

JODYE FANETO

Kenya

Jodye Faneto is a Kenyan drill artist hailing from the Eastsides Nairobi. ...

YOU MAY ALSO LIKE