Tajiri Lyrics
Nilikupigia simu
Chaji ikakata
Nikakutilia timu mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu
Nitakulaje bata
Wewe ni mtu muhimu nikwia nawe najipata
Hallo hallo hallo hallo
Hallo hallo hallo hallo
Ehn love bite
Afashali nimekuona
Afadhali tumeonana
Afashali nimekuona
Afadhali tumeonana
Nilikaa kinyonge sana
Tajiri Huna adui, tajiri
Wacha niagize pombe nyama
Tajiri Huna adui, tajiri
Na bebe ziletee savana
Tajiri Huna adui, tajiri
Tajiri atalipa bwana
Tajiri Huna adui, tajiri
Nilikupigia simu
Chaji ikakata
Nikakutilia timu mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu
Nitakulaje bata
Wewe ni mtu muhimu nikwia nawe najipata
Hallo hallo hallo hallo
Hallo hallo hallo hallo
Hwanza hunaga mapozi (hauna mbambamba)
Wala hunaga mamluki (hauna mbambamba)
Haki yamungu ukifa uozi (hauna mbambamba)
Naukioza unuki tulikaa kinyonge sana
Tajiri Huna adui, tajiri
Wacha niagize pombe nyama
Tajiri Huna adui, tajiri
Wanangu wazimike jama
Tajiri Huna adui, tajiri
Tajiri atalipa bwana
Tajiri Huna adui, tajiri
Asa mwaga noti mwaga (mwaga)
Tajiri mwaga (mwaga)
Asa mwaga noti mwaga (mwaga)
Tajiri mwaga (mwaga)
Eh mwaga noti mwaga (mwaga)
Nasema mwaga (mwaga)
Eh eh mwaga (mwaga)
Jamani mwaga (mwaga)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Tajiri (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
LAVA LAVA
Tanzania
Lava Lava is a Tanzanian musician signed under Wasafi WCB Record label. ...
YOU MAY ALSO LIKE