Nimechoka Lyrics
Pararara, pararara
Mafeeling make it
Hivi ndo tuseme haoni
Ama hajui anachonifanyia sio sawa
Mmmh yaani kama mate simkauki mdomoni
Kwake nimekuwa adui alafu aniombee mabaya
Oooh anaumiza moyo wangu mama
Anaitesa akili yangu sana
Anacheza na hisia zangu jamaa
Nimechoka manyanyaso na penzi langu maana
Namfumania nasamehe
Ooh namrudia twendelee
Si bora angeniambia niwache
Kama kampata mwingine waendelee
Mmmh naonekana chizi wa mapenzi
Nilijulikana kwako sijiwezi
Nishadira bana Mwenyezi
Ndo anayejua
Nikisema sana nitalia siwezi
Yamenichosha mapenzi
Usiku mzito nautua siwezi
Jamaa nimechoka
Nimechoka, nimechoka
Nimechoka, nimechoka
Labda tuseme ni utoto
Hajakuwa nao
Ama ujana maji ya moto
Ndo anaugua ooh
Kwa visa visa changamoto
Penzi akaliua ooh
Na kutazama kulia na kushoto
Ajali ya moyo kanibutua ooh
Sa kwanini nilimpa moyo
Kwa nini anione kolo?
Kwa nini nauliza aah
Oh juu mpaka chini akaubwaga moyo
Nimwamini leo mpaka tomorrow
Sa kwa nini anione poyoyo mama
Namfumania nasamehe
Ooh namrudia twendelee
Si bora angeniambia niwache
Kama kampata mwingine waendelee
Mmmh naonekana chizi wa mapenzi
Nilijulikana kwako sijiwezi
Nishadira bana Mwenyezi
Ndo anayejua
Nikisema sana nitalia siwezi
Yamenichosha mapenzi
Usiku mzito nautua siwezi
Jamaa nimechoka
Nimechoka, nimechoka
Nimechoka, nimechoka
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Amaizing (EP)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE