Home Search Countries Albums

Mpera Lyrics


Ngatale Music

Umewasha mapenzi moyoni
We ndo kipenda roho
Nikipapasa kwingine sioni
Umenikaba koo

Dalaiki ya kiumeni
Koko mfukwe 
Nipige kita la maina

Panga boy ya mapeni
Onda one tell me
No fundi designer

Nipe casted kitoto(Mpera)
Unilize kwa huba 
Penzi koleza moto(Mpera)
Nikugande ka ruba

Wanipeleka mpera mpepe, mpera
Yaani we wanipeleka mpera mpepe, mpera
Wanipeleka mpera mpepe, mpera
Yaani we wanipeleka mpera mpepe, mpera

Wanipeleka

Hili penzi la moto la moto fire
Wenye macho ya kuvimba watavunja itaya 
Wape matongo tongo wasione haya
Hunikuti wakizinga ni fire fire

Mi mwenzako peke yangu siwezi
Utanipa homa
Maana nishaweka nia, wekaga nia
Huaga nakuzimia sana

Dalaiki ya kiumeni
Koko mfukwe 
Nipige kita la maina

Panga boy ya mapeni
Onda one tell me
No fundi designer

Nipe casted kitoto(Mpera)
Unilize kwa huba 
Penzi koleza moto(Mpera)
Nikugande ka ruba

Wanipeleka mpera mpepe, mpera
Yaani we wanipeleka mpera mpepe, mpera
Wanipeleka mpera mpepe, mpera
Yaani we wanipeleka mpera mpepe, mpera

Wanipeleka
Mpera mpepe, mpera
Mpera mpepe, mpera

Wanipeleka
Yaani we wanipeleka mpera mpepe, mpera
Mpera mpepe, mpera
Wanipeleka

Mpera mpepe, mpera..

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Mpera (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

HAWA NTAREJEA

Tanzania

Hawa Mayoka  stage name ' Hawa Ntarejea' is an artist from Tanzania. Hawa is best known ...

YOU MAY ALSO LIKE