Home Search Countries Albums

Ndoenda

JAH PRAYZAH Feat. HARMONIZE

Ndoenda Lyrics


Wasafi Records
Ey yeahh hmmm… Tu tuuruu tu tuu hmm

Ooh  baby mwagala
Mwenzako jana sijalala
I’m thinking about you (haaa)
Mi mshamba wa mbagala
Nikiwaza wa vipara
Presha yaja juu hmmm (aaah)
Chunga usije nimwaga
Nyama na tonge
Miuno yakimakonde
Nita tapatapa we ndo
Chanda chema
Wasokupendaga
Waona dongee (ooh iyee)
Mara bi shonde
Wasiji wakapata Insta vyakusema
I phone matilio
Kila siku zinatoka (aaahh)
Nisitiri mwenzio nnasimu ya goroka
Kila siku vilio
Kuumizwa nimechoka (aaah)
Pesa mbali fagio zisije
Zikakuchota
Mimi nawe

[CHORUS]
I love you
Barafu wa moyo wangu
Nakupenda wewe
I love you
Ridhika na hali yangu
Nizikwe na wewe
I love you
Ungambata moyo wangu
Ndoendane we
I love you
Hee eeh ndoendane we

Jalii wangu kufomba kwa ubongo
Hee Mindonage maswaa
Jalii wangu kufomba kwa ubongo
Hee Mindonage maswaa
Namuyangu ili mufungo (ayeyeyeee)
Lujisime ungachinja fungo
Namuyangu ili mufungo (ayayaya)
Lujisime ungachinju fungo

Salula (sasa)
He salula (sasa)
Nipinde mkati (sasa)
Lemoyo auu (sasa)
Eeeh ehh
Kukapata bahati (sasa)
Nimekosa silwachi (sasa)
Nikabisi moyo (sasa)
Eeeeh (sasa)

[CHORUS]
I love you
Barafu wa moyo wangu
Nakupenda wewe
I love you
Ridhika na hali yangu
Nizikwe na wewe
I love you
Ungambata moyo wangu
Ndoendane we
I love you
Hee eeh ndoendane we


 
Ndoenda Tanzania leo (ainabhee)
Ainabhee namai vangu (ainabhee)
Ainabheee nkute tughahilaah
(Ainabheee)
Asa twende bongo (ainabhee)
Oooh bongo (ainabhee)
Bongo mamaa (ainabhee)
Ainaaa
Tungo na bababaa (ainabhee)
Ku Zimbabwe (ainabhee)
Zimbaambabwe (ainabhee)
Nighula tisee eeh (ainabhee)
Kune masanguwa (ainabhee)
Mfitila ndamoo (ainabhee)
Ahiyee ainabhee...

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Ndoenda (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

JAH PRAYZAH

Zimbabwe

Jah Prayzah (born on July 4, 1987 in Uzumba, Zimbabwe), is a Zimbabwean contemporary musician and le ...

YOU MAY ALSO LIKE