Pilipili Hoho Lyrics
Ni baraka mi kukupata wewe
Maishani mwangu
Mi kukupata wewe ni baraka
Ni faraja mi kukupata wewe
Maishani mwangu
Mi kukupata wewe ni faraja
Mamie sitojali ulikua na nani before
As long as you love me nitakupa vinono
Sina habari napenda pasi kipimo
Penzi lako pilipili lani washa vilivyo
Hao wengine pilipili hoho hawani washi
Tena ligi zao ligi ndogo hawa nipati yeah
Pilipili hoho hawani washi
Ligi zao ligi ndogo hawa nipati yeah
Nitakuganda kama ruba
Uwe mama kwenye nyumba yangu
Usione kama nakuchunga nakulinda babe
Na janja yao naijua
Watakuteka kwa majumba
Natamani ungejua
Havina thamani kama penzi langu
Oooh babe Nipepee
Sitojali ulikua na nani before
As long as you love me nitakupa vinono
Sina habari napenda pasi kipimo
Penzi lako pilipili lani washa vilivyo
Hao wengine pilipili hoho hawani washi
Tena ligi zao ligi ndogo hawa nipati yeah
Pilipili hoho hawani washi
Ligi zao ligi ndogo hawa nipati yeah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Pilipili Hoho (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
IBRAH NATION
Tanzania
Ibrah Nation is a recording artist, song writer and composer from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE