Home Search Countries Albums

Sema

HAPPY C

Sema Lyrics


Hey, oh no no no
They call me Happy C
(Toti on the beat)

Nakumbuka one day
Nilipigwa komizo na ndugu zako
Sababu yako ukasema mi wako
Sikuwa na say 
Nilikaa nikauguza majiwa yangu
Sababu yako ukasema mi wako

Ujuwe mi ni wako
Shahidi ni ndugu zako
Waambie marafiki zako
Mi ni wako wa halali

Ujuwe mi ni wako
Shahidi ni ndugu zako
Wewe mama eeh

Sema, we useme eeh
Jinsi navyokupenda ndivyo maa
Sema, we useme eeh
Jinsi navyokupenda ndivyo maa
Unavyonipenda wewe

Am inlove
Nataka utayarishe wazo leo
Kama unanipenda
Ile siku u tuloingojea leo imetimia
Mwambie daddy na mami naja
Naja kukutwa ninazo zawadi zao

Vigelegele na shangwe (Alelele)
Karibu kwetu nyumbani (Alelele)
Tuwalee watoto wangu eeh 
Watoto wangu eeh

Ujuwe mi ni wako
Shahidi ni ndugu zako
Waambie marafiki zako
Mi ni wako wa halali

Ujuwe mi ni wako
Shahidi ni ndugu zako
Wewe mama eeh

Sema, we useme eeh
Jinsi navyokupenda ndivyo maa
Sema, we useme eeh
Jinsi navyokupenda ndivyo maa
Unavyonipenda wewe

Am inlove, Am inlove
Am inlove baby iyee iyee
Am inlove baby

Ninayo furaha ya kuwa nawe
Ya kuishi nawe oh my baby
Ninayo furaha ya kuwa nawe
Ya kuishi nawe oh my baby

Ooh my baby wouwoo wouwo
Oh my baby
Baby baby woouuu, woou
They call me Happy C
Sultan 001 yeah yeah woowo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Sema (Single)


Copyright : (c) 2021 001 Music


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

HAPPY C

Kenya

Happy C  is a singer, songwriter, sound engineer from Kenya signed under 001 Music. ...

YOU MAY ALSO LIKE