Mateka Lyrics

Usiwape faida wenye fitina mbaya
Walojawa na chuki machoni hawana haya
Mi chimi ukinipa nalamba na ukuku
We msingi bila wewe nyumba maporomoko
Mie king rubani wa mahaba
My lover kwako nitakaba
Mie king rubani wa mahaba
My ladha, ladha eh
Oh baby, mi ni mate
Oh kwako, mimi mateka
Oh baby, mi ni mate
Ah kwako, mimi mateka
Wanadanganya wanakanganya
Penzi ligawanyike
Chochote nitafanya, mbegu nitapanda
Mradi mi niwe nawe eeh
Ua la uwaridi
Kimapenzi wewe ni gwiji
Basi nidekeze
Cha ukucha nichumishe
Yajaze mapenzi nitosheke
Mie king rubani wa mahaba
My lover kwako nitakaba
Mie king rubani wa mahaba
My ladha, ladha eh
Oh baby, mi ni mate
Oh kwako, mimi mateka
Oh baby, mi ni mate
Ah kwako, mimi mateka
Mi ni mate, ah mate mateka
Mi ni mate, ah mate mateka
My ladha my baby, my darling
Mie king rubani wa mahaba
My lover kwako nitakaba
Mie king rubani wa mahaba
My ladha, ladha eh
Mi ni mate
Oh kwako, mimi mateka
Oh baby, mi ni mate
Ah kwako, mimi mateka
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Mateka (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
HAPPY C
Kenya
Happy C is a singer, songwriter, sound engineer from Kenya signed under 001 Music. ...
YOU MAY ALSO LIKE