Index 001 Lyrics
Nimekupea kura za roho yangu my love
You're my number one index 001
Nilishawakabidhi moyo wangu wakaniacha na maumivu
Kidonda ukakiponya baby eeh
Usijegeuka mashaza ah moyo wangu kuukwarua (Kwaru)
Ah we ni wife material sio mchepuko wa dharura (Dharu)
Baby halua yangu eeh
Basi nipe michezo ya Mombasa
Wa Queen wange sheyi nang'ae
Baby You're the one for me aye
Baby omukwano wange, aah baby we ni wangu
Nimekupea kura za roho yangu my love
You're my number one index 001
Acha nikupe kura za roho yangu my love
You're my number one index 001
Index 001, index 001
Index 001, index 001
You're my number one eeh
Nimeita meeting nimekubali you kill me
Na nitatangaza kwa redio na TV eh yeah
Kupanda miti nilishasare si mimi
Amini usishike nare hizo romours si fiti
Kujitenga mi sidhani
Ka mgonjwa na dakitari
I need you my baby
I love you girl
Kukucheza mi sidhani
Ki Maradona haiwezekani
I need you my baby
I love you girl
Nimekupea kura za roho yangu my love
You're my number one index 001
Acha nikupe kura za roho yangu my love
You're my number one index 001
Index 001, index 001
Index 001
You're my number one eeh
Nimekupea kiti, sasa wewe ndo chairlady
Nimelipa tikiti, so tonight I'm in your city yeah
Formation ni gani, location ni wapi
Uko down south ama leo uko Malindi
Nimekupea hisia za roho yangu my love
You're my number one lady 001
Nimekupea kura za roho yangu my love
You're my number one index 001
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Index 001 (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
HAPPY C
Kenya
Happy C is a singer, songwriter, sound engineer from Kenya signed under 001 Music. ...
YOU MAY ALSO LIKE