Home Search Countries Albums
Read en Translation

Nafunga Mwaka Lyrics


Kama nimerogwa tena (oya wee oya)

Ya dunia ni mengii

Yaliyonikuta mengii

Licha ya kuumizwa kote mwenzenu nimependa tena eh

Kidudu mapenzi ih

Kinawatesa wengii

Nimepata huyu ndio fungu langu

Nimeona niseme mapema (oyaa)

Akiniacha na huyu sijui itakuwaje (yalaa tobaa)

Mwenzenu nina moyo wauoga

Anavyonipa vimenikoroga

Akinilia buyu sijui itakuwaje (yalaa tobaa)

Mwenzenu nina moyo wauoga

Utanikuta mzoga

Kwa babe moyo nishaweka bondi

Yasiwe kama ya zuchu na mondi

Nataka mapenzi mubashara

Yasiwe kama ya konde na kajala

Yakiwa kwishinei babu jii

Yakiniacha kesho sirudiii

Sitaki mambo ya makusudi

Mi matapishi sirudiii

Chizi chizi nimerogwa tena (nifungwe kamba)

Ukija dar dar es salama (acha ushamba)

Oya we wanangu nafunga mwaka oh (tukutane mwakani)

Oya we, oya nafunga mwaka oh (tukutane mwakani)

Oya nafunga mwaka oh (tukutane mwakani)

Wanangu nafunga mwako oh (tukutane mwakani)

Kama kuna vilevi watu tujipongeze (tujipongeze)

Kama umeachika wee, jiongezeee (jiongezeee)

Nimepata bebe acha nijidekezee (nijidekezee)

Nani anapiga gitaa likolezee

Oya oya nafunga mwaka si kizawi mbacha

Hizo takataka oya takataka

Oya nafunga mwaka

Utaipenda wa utaitaka (utaitaka utaitaka)

Moyo nishaweka bondi

Yasiwe kama ya zuchu na mondi

Nataka mapenzi mubashara

Yasiwe kama ya konde na kajala

Yakiwa kwishinei babu jii

Yakiniacha kesho sirudiii

Sitaki mambo ya makusudi

Mi matapishi sirudiii

Chizi chizi nimerogwa tena (nifungwe kamba)

Ukija dar dar es salama (acha ushamba)

Oya we wanangu nafunga mwaka oh (tukutane mwakani)

Oya we, oya nafunga mwaka oh (tukutane mwakani)

Oya nafunga mwaka oh (tukutane mwakani)

Wanangu nafunga mwako oh (tukutane mwakani)

Chiziii

We neck piga dude hilo meck

Oya oya ni kama oya

Oya gang gana

Oya gang gang

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2024


Album : (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

IBRAAH

Tanzania

IBRAAH real name Ibrahim Abdallah Nampunga (born 3rd July 1998) is an artist, singer, ...

YOU MAY ALSO LIKE