Home Search Countries Albums

Mapenzi Sio Vita

NOKEY

Mapenzi Sio Vita Lyrics


Katavi boy

Mama ulifata mziki
Na haukunipenda ah mimi
Kupitia muziki
Labda ninge fanikiwa aah
Imani yako ipii
Labda kesho ingekuwa ya furaha ah
Uvumilivu uh
Tunge fanikiwaa aah
Kule kwishi unapungua
Ulikonda na mawazo oh
Name hilo sikulijuwa ah
Niliaminii kesho oh
Lile penzi ulinipatia ah
Limegeuka ah mateso oh
Umekuwa zimwi umenijuwa ah
Umenila ah nimekwisha ah

Na unanionesha ah
Ubaya wako wote eh uliouficha ah
Na unanionesha ah
Uko na mwenzako mbele unampitisha ah
Na unanionesha ah
Ukumbuke kwanzo wewe ndo ulianzisha
Na unanionesha ah
Ili mradi moyo uweze kuudhohofisha ah

Mapenzi sio vita (aah aah aah)
Tuliachana yakaisha ah (aah aah aah)
Mapenzi sio vita (aah aah aah)
Tuliachana yakaisha ah (aah aah aah)

Mara hii unaona
Ni rahisi unaona
Ila kwangu inaumaa aah
Wewe eh
Kuacha raha unaona
Ila kwangu inauma ah
Ukichwa inaumaa ah ah
Hivi kipi kilinifanya nikupende eh
Moyo umeuchana kiwembe eh
Nilidhani haruwa kumbe tende, tende eh
Sio wa mbagala sio wa mwenge
We wa mradi kote twende
We kufanya tu uende

Na unanionesha ah
Ubaya wako wote eh uliouficha ah
Na unanionesha ah
Uko na mwenzako mbele unampitisha ah
Na unanionesha ah
Ukumbuke kwanzo wewe ndo ulianzisha
Na unanionesha ah
Ili mradi moyo uweze kuudhohofisha ah

Mapenzi sio vita (aah aah aah)
Tuliachana yakaisha ah (aah aah aah)
Mapenzi sio vita (aah aah aah)
Tuliachana yakaisha ah (aah aah aah)

takaisha ah

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Mapenzi Sio Vita (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

NOKEY

Tanzania

Nokey is a musician from East Africa, Tanzania ...

YOU MAY ALSO LIKE